Ras Mtimanyongo: Zitto yuko sahihi Wanasiasa wadai Tume huru ya Uchaguzi, Katiba Mpya itadaiwa na Wananchi pale itakapohitajika

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.

Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unawezaje kupata tume huru kwa utaratibu usio huru?

Uenda Ras hajui namna tume huru kwa sasa itakavyopatikana na km kweli itakuwa huru ama la.

Namshauri akavute bange vizuri kisha arudi hapa.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.

Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Who is this stupid ras?
 
Kwa hiyo wanasiasa sio wananchi? Ni wahamiaji haramu kutoka sayari ya Mars!
 
Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.

Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Nonsense extraordinary!
 
Ndani ya Katiba ndimo Tume na Organs nyingine za Serikali na muundo wake hutokea na baadae kuundiwa sheria mahususi na kanuni za kuiendesha. Mawazo ya kuona katiba haina huo umuhimu bali Tume huru ni mawazo mgando.

Pia kuhusu uhitaji wa Katiba kwa wananchi upo wazi kwa sababu wananchi walihitaji katiba na kutoa maoni yao kwa Tume iliyoundwa na Rais Kikwete chini ya Mzee Warioba. Sasa jiulize hiyo Katiba waliyoitaka ilishapatikana? Au uhitaji huo ulishaisha?
 
Back
Top Bottom