johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unawezaje kupata tume huru kwa utaratibu usio huru?Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.
Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Who is this stupid ras?Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.
Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Marijuana smoker.Who is this stupid ras?
Kwa hiyo wanasiasa sio wananchi? Ni wahamiaji haramu kutoka sayari ya Mars!Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.
Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Nonsense extraordinary!Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.
Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Huyu mtoa mada sidhani kama huwa yuko sawa.Nonsense extraordinary!