Ras Simba English Course

Ras Simba English Course

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Eti wakuu...
Huyu Ras Simba Mwamba wa kufundisha English language (ung'eng'e) ana vituo DSM pekee Huku mikoani hamna..?

Mimi Niko mikoani nataka nijipige msasa kidogo wakuu.

Huu mtaa ninaoishi wazungu ni wengi mno. Nataka nipige nao story mwazo mwisho bila kukwamakwama
 
Eti wakuu...
Huyu Ras Simba Mwamba wa kufundisha English language (ung'eng'e) ana vituo DSM pekee Huku mikoani hamna..?
Mimi Niko mikoani nataka nijipige msasa kidogo wakuu,, Huu mtaa ninaoishi wazungu ni wengi mno. Nataka nipige nao story mwazo mwisho bila kukwamakwama😁
Ulisoma Hadi darasa la ngapi hadi ukawa hujui kiingereza?
 
Mwenye picha ya Ras Simba tafadhali aiweke hapa
 
Back
Top Bottom