Rashid Abdalla Makwiro a.k.a Chid Benz Afunguka Ya Moyoni

Rashid Abdalla Makwiro a.k.a Chid Benz Afunguka Ya Moyoni

Yaan huyo shadee mwenyewe anamsikiliza kwa huruma sana
 
Kapelekwa matibabu kazingua....muachane adanje coz ndio mwisho wa uteja
 
Mimi huwa nashangaa watu wanaopoteza muda kumsaidia mtu kama Chidbeenzy au RayC..hawa watu ni wakukamata na kuwapeleka Milembe Dodoma huko
 
Mhh, bado hayuko sawa. Anahitaji uangalizi wa karibu ili awe raia mwema
 
Kama cd imeshaanza kuscruych vile,kesha anza kupoteza memory uhmm these things ndo maana jama wa philipins anaua wanaopatkana na hatia za hayo mananii
 
Sumu ya ngada bado ipo ipo hajitahidi kula mboga za majani kwa wingi sana
Sasa yeye akisikia mboga za majani atajua ganja
 
Na moyo na moyo na moyo na moyoo [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
sijui mama yake mzazi anajisikiaje kumuona mwanae katika hali hii
moyo umeniuma utasema nimemtoa kwenye nyonga yang
Eeeh Mola wetu we ni mwingi wa huruma,mfanyie wepesi



ole wenu mumnyoosheaye kidole.............naamini hakuna aijuaye kesho yake.chid nani alijua yangempata haya.chondechonde kidole hicho
 
Back
Top Bottom