Rashid Abdalla Makwiro a.k.a Chid Benz Afunguka Ya Moyoni

Bibie maumivu yako na dua uliyo omba ni jambo jema kabisa umefanya hongera.
 
Ujanja mwingi mbele giza...wakina Tale walimsaidia fresh na Alirudi fresh tu kutoka Sober.

Baada ya kurudi ametoa ngoma na Raymond baada ya kuona ngoma imesimama mitaani hataki tena kufanya kazi na kina Tale kisa watamdhulumu ameamua kujisimamia mwenyewe kama ilivyokuwa zamani.

Mama ake kila siku analia anataka mwanae afanye kazi na kina Tale ila Rashidi mwenyewe hataki anaona wakina Tale watamdhulumu.
 
Unga ni kama s*x , ukionja utatamani kurudia Tena na Tena, kuacha unga ukiwa na uwezo wa kuyanunua ni sawa na kujikaza usis*x ukiwa na nyege na upo na dem mkali chumbani yupo uchi anakuomba umchape...
 
Ardhi hii inamea vitu vizuri na vibaya kwa wanadamu akili kumkichwa kadri janga linavyozidi kuwa kubwa na mifano hao wanaona lakini bado wimbi la kujitumbukiza penye matumizi linazidi kuwa kubwa.
 
Nilichokielewa hapo kwenye hiyo video ni kwamba, Chedi Benz.
1/Anajiamini.
2/Anajitambua.
3/Ana matatizo.
4/Anaomba msaada.
5/Anatupenda sote

USHAURI wangu kwetu sisi sote...
-Tumuelewe
-Tumsaidie
-Tumwombee.
-Tumuunge mkono.
-Tumpende

*NOTE.
1/Ni jambo la kawaida kabisa kwa mtumiaji wa madawa ya kulevya kukana kuwa anatumia au anaendelea kutumia madawa(Hivyo tusishangae hilo!)

2/Ni jambo la kawaida kwa mtumiaji wa madawa ya kulevya kutibiwa na kupona lakini baada ya muda kurudia tena kutumia hayo madawa. Zaidi ya 60% huwa hivyo.(Hivyo tusishangae hilo!)

3/Madawa ya Kulevya humuathiri mtu KIAKILI, KIMWILI na KIJAMII. Hivyo tiba yake huhitaji mchanganyiko wa mambo mengi sana na huwa ni mchakato wa muda mrefu(Hivyo kila mbinu zitumike kumsaidia muathirika wa madawa ya kulevya).

4/Kumkatia tamaa muathirika wa madawa ya kulevya ni sawa na kumpa tiketi ya kumuangamiza zaidi. (Hivyo tusikate tamaa kabisa)

5/Mtu aliyeathirika na Madawa ya kulevya anaweza kutibiwa kwa namna mbali mbali na kupona kabisa japokuwa inaweza kuchukua muda na kutokuonyesha matumaini mazuri kwenye hatua za mwanzoni (Hivyo tukazane zaidi na zaidi kuwasaidia kisaikologia, kijamii na kimatibabu)
 
huyu jamaa alivuta bangi iliyovunda sio bure, ila anyway na moyo na moyo yaan na moyo na moyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…