Rashid Abdalla Makwiro a.k.a Chid Benz Afunguka Ya Moyoni

namfahamu kabla hajawa hata star mkubwa...namuponea huruma alivokuwa na amekonda kweli..but wish arudi normal hope yuko normal....nashangaaga sana u have money from music but you go thru that route
 
Inasikitisha sana,Chid La Familiaaaa Ilalaa Ilaaaaa Haaaaaaaaaa Haaaaaaa King Koooong,Alaaniwe anayeleta Bwimbi linalopoteza Nguvu kazi za Vijana,Nikikumbuka Chid wakati yupo na Kundi lake La Familia huku Chiku K,Ditto,Huku Koba,Huku Tunda,kila Msanii anakimbilia kufanya kazi na Chid.

-Ngoma zake za crunk zilitikisa,Introduce Chid Benz Nigga,turn up base,La Familiaaaaaa.
-Tanzaniia Tanzaniiaaaaaa Clasmate Lamaaaaaaaaaarrr King kong La La La Lafamiliaaaaaaa.
-Kweli na Moyo na Moyo na Moyo na Moyooooooooooooo.
-Amani kwa kaka Voda Milionea Waambie wadogo zako waache Poda wale Mmea.
 
walipomtoa soba ilifaa asirudi kitaa wangempeleka short course milembe
 
Me naona aloleta Uzi ndo hayupo sawa? Maana hayo ya moyoni sijayaona apart from that kaongea nomo tuu hakuna cha kujiuliza kama mzima au siyo mzima Go Benz go Benz gooooo...nakubal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…