Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

hawa mateja kuwapeleka rehabu sijui wapi huko ni kupoteza pesa tu.

dawa ni kuchukua wote aina ya chidi,peleka jera huko.wakae huko hadi akili ziwarudie,wanasemaga arost sijui nn huko.hata walie na kutoka povu hakuna kuwapa dawa.akianza kulia ni kupeleka shamba akalime huko chapa sana viboko.

kama arosto inaua acha wafe,watakao baki watajifunza kitu
 
Ah chidi Hana makosa kwa hilo ila yule aliyesaidiwa na raisi kwa pesa za wananchi halafu akarudia tena ananipa hasira Sana

Mbona q chief kaacha mazima maamuzi tu
Nae q chief alikua mvutaji?
 
Nikisiliza nyimbo alizoshirikishwa kama
Nalia na mengi aliyoimba na diamond,
Neila aliyoimba na Tundaman.........aaaaaaghrrrr
Sijui nani atatokea wa kuziba pengo lake........
Ama kweli hata ukiuona unga mahali huna budi kutimua mbio usije shawishika bure!
 
Serikali Muko wapi,Mkamate hawa wapuuzi Mapapa wa Unga wanateketeza vijana wetu.
Vijana Taifa la kesho bila kujua kesho inajengwa na Leo.

"Wajanja hawali Madude Bali ganja "--Mr II Sugu.
 
Tatizo sio mwanasaikolojia. Hivi eddo anahisi rehab hazina wanasaikolojia????
Huyo chidi anahitaji kukutana na Yesu Kristo ambadlishe just like he did to TERRY FANANI WA HBC
 
Tatizo sio mwanasaikolojia. Hivi eddo anahisi rehab hazina wanasaikolojia????
Huyo chidi anahitaji kukutana na Yesu Kristo ambadlishe just like he did to TERRY FANANI WA HBC
We unacheza wewe
 
Nikisiliza nyimbo alizoshirikishwa kama
Nalia na mengi aliyoimba na diamond,
Neila aliyoimba na Tundaman.........
Sijui nani atatokea wa kuziba pengo lake........
Ama kweli hata ukiuona unga mahali huna budi kutimua mbio usije shawishika bure!
True dat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…