Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

acha wafe tu ndugu.mimi ni mwanaume mkuu
 
Lazima wafahamike wanaoingiza unga,niliwahi kusikia mkuu mmoja wa nchi miaka ile akisema .majina ya wauza unga anayo,sasa kwa nn wasitajwe na wafungwe ??
 
hivi hakuna mada za kujadili mpaka kujadili watu wanaotafuta vifo kwa mambo ya kuiga na kujitakia?km mada zimeisha bora Max afunge jamvi ili kesi zifutwe kisutu
 
...sipigiw nacheza, pakavu nateleza, you can't stop me sana sana nitakupoteza... Pole chid b!
 
Nimeona picha zake mpaka nimeogopa,Mungu atuepushe na hili janga!!
 
Mjanja yeyote atumii unga zaid ya mabush layer
 
tulipoteza kaka yetu na mume wa dada yetu kwa ajili ya sembe, sikia na ona tu story za sembe usiombe ikukaribie.
 
Watu mna-comment ushenzi kwa kumkejeli jamaa kwa sababu ya hali yake..hata kama kajitakia huwezi jua nguvu iliyopo ndani ya unga na ushawishi wake.yy mwenyew hapendi kuwa katika hali hiyo.mbona wengi mnajua madhara ya punyeto hamuachi kila siku mwajichua sasa mkae mkijua kinachowafanya mshindwe kujizuia kwny punyeto ndo hata Chid anashindwa kujizuia kwny unga....tunapaswa kumsaidia kwa hali na mali tusisubiri siku clouds wanapiga nyimbo zake ndio tuanze kujifnya tunamsikitikia
 
Leo nimetoka kusikia ngoma kali sana anaimba yeye sijui mpya ile daaah jamaa anakipaji sana
 
DAHHHH NAKUMBUKA KITAMBO KILEEE MCHIRIKU MIAKA YA MWANZONI MWA TISINI KULIKUWA NA WIMBO UNASEMA HIVI" Maswala kunesa , eti maswala kubembea.
Raha Leo kunesa, raha Leo kubembeaaaaaa.
TAHAMAKI LEO KARIBU ROBO YA VIJANA WA KITANZANIA WAMEATHIRIKA KWA NAMNA MOJA AMA NYENGINE.
Kuna kanyimbo kengineee katamuuuuu kanasema hivi" Muda wa kubeti, Mäsela Muda wa kubetiiii, Muda wa kubetii, wahuni Muda wa kubetiiiii, kamkamue kanji baiiiiiiii.
MIAKA MITANO IJAYO SIO TU TUTAKUWA NUSU YA VIJANA WAATHIRIKA WA MADAWA BALI WAATHIRIKA WA KAMARI, Badala ya kukamuliwa kanji bai tutakamuliwa sote mitaani na kuhanikizwa na Wimbi la Wakabaji,waporaji, matapeli,vibaka na majambazi kwa Kasi ambayo haijawahi kutokea.
TUENDELEE KULALA TU WADANGANYIKA
 
Maswala kunyeta..maswala kubembea....sio kunesa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…