Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mwenyewe alisema Mama yake mzazi alishindwa, sembuse nyie.
Ni kwel nakupa 100%Inamaana we mpaka Leo ujajua kuwa wanaopiga vita madawa ndio wanaoyauza?!
Acheni fujo...amekuja anko anatumbua mafisadi...mnalia..lia...mkimpata Durtete si mtakufa kwa kihoroNi kweli kabisa. Huyo Mfilipino ndiye atakiwaye ili kuondokana na hii kadhia
Hapa hatuzungumzii siasa tunaangalia jinsi ya kuondokana na kadhia ya madawa ya kulevyaAcheni fujo...amekuja anko anatumbua mafisadi...mnalia..lia...mkimpata Durtete si mtakufa kwa kihoro
Maswala kunyeta..maswala kubembea....sio kunesa..DAHHHH NAKUMBUKA KITAMBO KILEEE MCHIRIKU MIAKA YA MWANZONI MWA TISINI KULIKUWA NA WIMBO UNASEMA HIVI" Maswala kunesa , eti maswala kubembea.
Raha Leo kunesa, raha Leo kubembeaaaaaa.
TAHAMAKI LEO KARIBU ROBO YA VIJANA WA KITANZANIA WAMEATHIRIKA KWA NAMNA MOJA AMA NYENGINE.
Kuna kanyimbo kengineee katamuuuuu kanasema hivi" Muda wa kubeti, Mäsela Muda wa kubetiiii, Muda wa kubetii, wahuni Muda wa kubetiiiii, kamkamue kanji baiiiiiiii.
MIAKA MITANO IJAYO SIO TU TUTAKUWA NUSU YA VIJANA WAATHIRIKA WA MADAWA BALI WAATHIRIKA WA KAMARI, Badala ya kukamuliwa kanji bai tutakamuliwa sote mitaani na kuhanikizwa na Wimbi la Wakabaji,waporaji, matapeli,vibaka na majambazi kwa Kasi ambayo haijawahi kutokea.
TUENDELEE KULALA TU WADANGANYIKA