Mwanakijiji,
Nimekuwa nikifikiria kuwa michango yako ni ya uzalendo na inajaziishwa na uzalendo. Tafadhali niwezeshe niendelee na fikra hizo hizo, tafadhali andika yale unayoyajuwa kwani kuamini kwako na kutokuamini kwako si muhimu bali cha muhimu ni wewe kutueleza unayoyajuwa, uliyona hakika nayo hasa tukichukulia pia kuwa wewe ni mwanahabari. By the way, kuhusu radar fuatilia WB iliishinikiza vipi Serikali mwaka 2002 kuwa haikuridhika na ununuzi huo na tafuta na uelewe BM alijibu vipi. Hao wajuao ilikuwaje wakae kimya hadi WB ilonge na daada ya kulonga ipigwe kiini macho.
Usalama wa taifa ni wa kuwalinda viongozi dhidi ya wananchi!kwa kutumia falsafa kuwa viongozi wakati wote huwa wanachukua maamuzi ya kizalendo na yenye manufaa kwa nchi na hivyo yanastahili kulindwa kwa nguvu zote chini ya viapo! na wao(viongozi wakuu) wanastahili kulindwa dhidi ya wananchi watakao kuwa wakijaribu kudhani kuwa viongozi hao hawafanyi maamuzi ya kizalendo!(maadui wa Taifa)Hivyo basi wanaomtaka mwanausalama aache kulinda siri na kuwatokomeza wote wanaopinga maamuzi na kuwa na fikra za tofauti dhidi ya viongozi..then wawe makini kwani wanausalama wanawachukulia watu kama hao kuwa ni maadui wa usalama wa taifa!Hilo ndio jibu fupi na sahihi.Hadi gazeti la Guardian litutangazie kuwa Waziri wetu ameficha Bilioni kisiwani Jersey (thanks Yebox2) wao kina RO walikuwa wapi?
Hadi Kamati Teule ilipotuambia rasmi kuwa RDC ni kampuni hewa RO na timu yake walikuwa wapi?
Niendelee kuorodhesha ushahidi wa uzembe uliokithiri na uvivu wa kufikiri wa taasisi nyeti ya Usalama wa Taifa? Kama wameshindwa kugundua matukio ya economic sabotage yanayoendelea nchini wana faida gani? Hii ya kusafiri na Rais na kutumia vi ear pieces na makoti marefu kama vile wao Secret Service?
Rashid Othman ajiuzulu kwa ajili ya Usalama wa Taifa!!!
yes I said it!
Usalama wa taifa ni wa kuwalinda viongozi dhidi ya wananchi!kwa kutumia falsafa kuwa viongozi wakati wote huwa wanachukua maamuzi ya kizalendo na yenye manufaa kwa nchi na hivyo yanastahili kulindwa kwa nguvu zote chini ya viapo! na wao(viongozi wakuu) wanastahili kulindwa dhidi ya wananchi watakao kuwa wakijaribu kudhani kuwa viongozi hao hawafanyi maamuzi ya kizalendo!(maadui wa Taifa)Hivyo basi wanaomtaka mwanausalama aache kulinda siri na kuwatokomeza wote wanaopinga maamuzi na kuwa na fikra za tofauti dhidi ya viongozi..then wawe makini kwani wanausalama wanawachukulia watu kama hao kuwa ni maadui wa usalama wa taifa!Hilo ndio jibu fupi na sahihi.
Kikwete inabidi afanye linalowezekana kuwaumbua Che Nkapa na wezake kwani kila akijaribu kuwalinda na yeye anasogea zaidi kwenye kuusishwa na ufisadi wao.
Hakikishe taarifa za mafisadi zikimfikia azifanyie kazi baadala ya kusubiri kelele za wananchi.
Bottom line ni sisi wananchi wa kawaida tulie na viongozi wetu na kuileta katiba yetu mezani wakati huu muhimu na kuwanyumbulishia viongozi wetu kuwa katiba inatulinda na wananusalama wanatakiwa wayalinde matakwa ya wananchi kwani ndio waliowaweka hao viongozi wanaowalinda madarakani!Katiba ni lazima iletwe mbele za mjadala huu wa wananchi na waliopewa dhamana ili tuweze kujua kuwa katiba yetu inasema nini kuhusiana na namna ya kudeal na huu ufisadi!Itakuwa rahisi zaidi kama tukili approach hili suala in this way!Kama Mh Rais anashindwa kuiangalia katiba na kushindwa kua act accordingly..then we should figure out if tatizo ni Mh Rais ama ni katiba yetu!Baada ya hapo then tutajua kama tubadilshe katiba,rais ama vyote!Ndio maana tunataka hali ya hatari itangazwe!This issue si serious lakini wao nia yao ni kutaka wananchi wa kawaida waone sio big deal!Hilo halitowezekana kwasababu umasikini umebobea!Na ndio maana Chenge na kauli yake ya vijisenti aliumbuka!Ndugu zangu ni wazi watanzania wa sasa hivi tunatofautiana mno kiasi cha kwamba kuna matabaka ambayo hata hayajui wenzao wananishije licha ya kwamba wamepewa dhamana ya kuwalinda wao na mali zao na kuwaletea maendeleo!What is our National Security Policy?
Ninavyoelewa mimi wao ndio wenye majukumu ya kuhakikisha kuwa fikra zote za viongozi hazi athiriwi kwa namna moja ama nyingine during implimentation of those ideas!Kwao wao wamelishwa kiapo kuwa watazilinda na ni sahihi all the time! na pia kuwashughulikia wote wanaozipinga fikra hizo kwao ni uzalendo halisi na ulinzi wa usalama wa mali za taifa,viongozi na wananchi wake!Katiba jamani!I have been saying that all the time!Are you serious?..
Kwa hiyo wao kazi yao ni kuwachunguza wanaJF na kulinda viongozi mafisadi tu?
Mmhh..kweli afrika mambo bado!