Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Icadon, utaona kwenye Ibara ya pili kipengele cha kwanza inasema hivi:
"It shall not be the function of the Service: 1: To enforce measures for security".
Kwa maneno mengine wakimuona mtu anaiba hawatakiwi kumkamata bali kutoa taarifa kwa Waziri au chombo fulani ili waje kumkamata. Sidhani kama wana uwezo hata wa kumtia mtu kizuizini.
Icadon, utaona kwenye Ibara ya pili kipengele cha kwanza inasema hivi:
"It shall not be the function of the Service: 1: To enforce measures for security".
Kwa maneno mengine wakimuona mtu anaiba hawatakiwi kumkamata bali kutoa taarifa kwa Waziri au chombo fulani ili waje kumkamata. Sidhani kama wana uwezo hata wa kumtia mtu kizuizini.
Wakuu huu mjadala ni muhimu sana kwetu wengine wananchi, sasa ninawaomba tu mpunguze jazba, na Mods wafute yasiyotakiwa kuwemo kwa mujibu wa sheria za forum, ili wengine tuendelee na majadala huu muhimu kwa taifa,
the kitchen is hot, inaeleweka lakini isituharibie mjadala wetu, na ninaomba usifutwe!
-1997-2005 RO alikuwa Station Chief London....
-Radar imenunuliwa 2002
-Chenge ana Account(s) UK
Kama RO angefanya kazi yake ipasavyo basi sidhani Chenge angekuwa Waziri leo.
Alafu hii ya kusema kuwa anaweza akawa amemshauri Rais ana akapuuziwa, ni very weak sasa kama amepuuziwa kwa nini anaendelea kushikilia hicho cheo(another weakness), what makes him believe next time rais atamsikiliza?.
Hakuna aliyejibu swali langu, Wana njenje walivyotumbuiza kwenye harusi ya mwanae walilipiwa na nani kwenda UK?
Icadon, ahsante kwa kutupa hizo sheria, Mutu ahsante kuniunga mkono kukataa mihadhara ambayo sio mahali pake. Lakini undugu wetu unaishia hapo hapo!
Kiini cha mjadala ni kwamba Rashid Othman ajiuzulu; kashindwa kulinda Usalama, kwa sababu kumetokea economic sabotage kwa maneno ya muanzilishi wa mjadala, hoja iliyo ungwa mkono na wana JF wengi kuliko walio muunga mkono JK 2005 . Wengine tukasema kufuatilia au kuzuia hujumu za uchumi labda sio kazi za RO.
Zikaanza hoja za kuotea otea kuhusu kazi za idara ya Usalama, na bahati mbaya michanganyiko ya ishu nyingine kuhusu biography ya RO mwenyewe. Lakini sheria inasema nini?
Ni kweli sheria ya Usalama ya 1996 inasema maana ya Usalama ni pamoja na hujuma, kipande ambacho hatujakijadili.
TISS Act 15/1996 Part I, section (3)
"Security'' means the protection of the United Republic from acts of espionage, sabotage and subversion, whether or not it is directed from or intended to be committed within the United Republic;
Lakini hapo hapo sheria inasema maana ya hujuma inayoongelewa hapa inatoka kwenye sheria ya Usalama ya 1970: "Sabotage'' means any such offence under the National Security Act, 1970 (section hiyo hiyo ya sheria ya 1996, kipande ambacho Icado hukukiweka.)
Sheria ya 1970 inasema nini kuhusu 'hujuma'?
THE NATIONAL SECURITY ACT, 1970 Sect (3)
(Hapa ndio mahala peke yake sheria inaongelea hujuma, na kipendele chenyewe kinaitwa hivyo.)
Sabotage and Espionage
Any person who, for any purpose prejudicial to the safety or interests of the United Republic-
(a) approaches, inspects, passes over, is in the vicinity of or enters any protected place;
(b) makes any sketch, plan, model or note or in any manner whatsoever makes a record of or relating to any thing which might
be or is intended to be directly or indirectly useful to a foreign power or disaffected person;
(c)obtains, collects, records, publishes or communicates to any person any code, password, sketch, plan, model, note or other document, article or information which might be or is intended to be directly or indirectly useful to a foreign power or disaffected person;
(d) without lawful excuse damages, hinders or interferes with, or does any act which is likely to damage, hinder or interfere with, any necessary service or the carrying on thereof, shall be guilty of an offence and liable on conviction to imprisonment for life.
Hapa hakuna kuhujumu uchumi. Ukihujumu uchumi hufungwi maisha.
Na hata kama ingekuwa kuzuia kuhujumu uchumi ni kazi ya TISS, Rashid Othman hawezi kujua kama Chenge/Billal anaiba au anahujumu uchumi. Ni vitu viwili tofauti kisheria. Ataanzaje kumchunguza?
Ni Chenge, Kikwete, Jaji Ihema wa Tume ya Maadili, na yule mjomba anaeongoza TUKUKURU aliyesema dili la Richmond lilikuwa poa, ndio wazembe hapa. Rashid Othman hana hatia.
Ahasante kwa maelezo yako,
Naomba nikuulize nini hasa kazi ya wale agents wa TISS pale BOT na kwenye mabenki mengine na kwenye mashirika yote ya umma?
Naomba nikuulize nini hasa kazi ya wale agents wa TISS pale BOT na kwenye mabenki mengine na kwenye mashirika yote ya umma?
Sina uhakika.
Kukuonyesha kwamba nia yangu ni majadiliano ya kujengana nitasema kitu ambacho ni wachache hapa JF, na labda hakuna, anaweza kukisema: Sina uhakika.
Kukuonyesha kwamba nia yangu ni majadiliano ya kujengana nitasema kitu ambacho ni wachache hapa JF, na labda hakuna, anaweza kukisema: Sina uhakika.
Sasa sijui kama nitaombwa nieleze ni jinsi gani vitendo vilivyotokea BoT, Richmond, IPTL, Chenge n.k vinahusiakana na "threat to security" ya nchi yetu. Kama inashindikana mtu kuona itakuwa ni furaha yangu kuunganisha hivyo vidot.
Blah! blah! blah! Kilio cha Samaki..................