Kama hukutaja jina la huyo mtu usiseme naweza kutaja jina. Unakuwa kama waandishi wa THISDAY -'jina la Waziri tunalihifadha, alikuwepo baraza la Mkapa.' Kwa nini unasema sasa? Nilifikiri JF inasimama kinyume na huo utamaduni wa jina tunalo. Pia, inaonekana mlikuwa mnafuatiliana na huyo kachero kwa ishu zenu binafsi, hivyo nitaazima maneno yako 'sasa unataka kuugeuza huu mjadala kuwa personal badala ya taifa, hatutakupa hiyo nafasi.'
Kuhusu stori yako ya mafaili ya Lowassa aliyopewa Nyerere na Usalama, siijui lakini naona imepinda pinda kidogo. Naona hoja nyingi hapa za kachero fulani kafanya hivi na vile wakati kazi yake ni vile na hivi ni mafikirio fikirio tu. Inakuwa kama mtindo mpya wa mavazi kutaka kila mtu ajiuzulu kwa kutegemea nadharia za kuotea otea.
Na hoja inayosema Usalama wana faili la kila kiongozi kwa hiyo wanatakiwa wajue, na wamzuie Chenge asiibe ina tundu kubwa. Ili waweze kuwa na hizo taarifa, kuzuia na kukamata wahalifu, inabidi wawe wana update haya mafaili continually. Inabidi wafuatilie Chenge kafanya dili gani jipya, kafungua akaunti gani wapi wiki iliyopita, na Ballal kazua soo gani jana. Ina maana Usalama wamuweke kila kiongozi chini ya hali ya uchunguzi bila hata shuku ya msingi (reasonable suspicion). Sidhani kama hii ndio kazi yao, au hata inawezeka kiutekelezaji au kisheria kwa sababu mara nyingine uchunguzi unaohitaji kuvamia mabenki unahitaji ufuate misingi ya due process inayoendana na Bill of Rights ya Katiba ya Tanzania.
Na mwisho, kwa mara nyingine umechomekea lugha za udini hapa wakati sio mahali pake. Najua siko kwenye ngazi ya kukusahihisha veterani kama wewe kuhusu uvunjaji wa taratibu za JF, lakini unashusha hadhi ya hoja zako na yako mwenyewe unapoonekana kama mdini mdini.
Nilisema niko nyuma yako Field Marshall ES kama mwanajeshi wa miguu katika haya mapambano dhidi ya Ufisadi, lakini naona unaongoza vita vingine, na nimepoteza imani na heshima yote kwako. Divisiveness ya fikra kama zako ni hatari kuliko ujambazi wa kina Chenge na Billal kama wanavyo shutumiwa.
Sasa wewe unadhani usalama wa taifa kazi yao nini kuna kipindi privancy ya mtu inabidi ijulikane kwao kwa maslahi ya taifa ingawa inakuwa top secrect "they gonna do what they gonna do inorder to do what they have to do"
Waijapita muda tuliweka hapa TISS 1996 act ambapo part ii 5(1) states function zake part II 5(2) inaonyesha wasichotakiwa kufanya.
Kwa habari ya udini hapo kweli nakuunga mkono imekosewa kuwekwa hapo.
Check out this part too
PART IV
DUTIES, AND POWERS OF TISS
Duty to collect,analyse and retain information
14.-(1) It shall be the duty of the Service to collect, by investigation
or otherwise, to the extent that it is strictly necessary, and analyse and retain information and intelligence respecting activities that may on reasonable grounds be suspected of constituting a threat to the security of the United Republic or any part of it.
Power to investigate
(2) The Service shall, in relation to the information dealt with under
subsection (1), report to and advise the Government.
(3) The Service may provide security assessments to departments of the Government.
(4) The Service may-
(a) advise any Minister on matters relating to the security of Tanzania;
or
(b) provide any Minister with information relating to security matters.
15.-(1) The Service shall, subject to this Act, have power to investigate
any person or body of persons whom or which it has reasonable
cause to consider a risk or a source of risk of a threat to the state security.
(2) The Service may conduct any investigations which are required
for the purpose of providing security assessments pursuant to section 14.
(3) The Service may, with the approval of the Minister, enter into an
arrangement with-
(a) any person or body of persons;
(b) any local government or other authority;
tion of
No. 15 Tanzania Intelligence and Security Service 1996 9
(c) any police, force or other policing organisation.
authorising the Service to provide security assessments.
(4) The Service may, with the approval of the President after consultation with the Minister for Foreign Affairs, enter into an arrangement with the government of a foreign state or an international organization of states authorizing the service to provide the government, institution or organisation with security assessment.