Nafikiri unawatambua vizuri hawa wa usalama wa taifa, hata siku moja hawaripoti kwa mawaziri. Wao huripoti kwa mkurugenzi wao na yeye moja kwa moja kwa Raisi tu. Rashid hawezi kumshitaki Chenge kwa Simba, ili iweje? Nafikiri umefika wakati wa kutomuonea aibu Kikwete, ametuangusha na bila ya yeye kuondoka, uvundo utaendelea. The bucks have to stop at Kikwete's desk. Kwangu haileti maana yeyote kufukuza kila mtu ili tu JK abakie madarakani. WHY NOT LET JK GO????
1. Mkuu usalama wa taifa zamani ulikuwa chini ya wizara isiyokuwa maalum, kipindi cha mkapa ikahamishiwa wizara ya utawala bora, mpaka leo, kitine alishawahi kuwa waziri wake na bado mpaka leo ni ofisi ya rais.
2. Maofisa wa usalama wanaripoti kwa mkurugenzi wa usalama, depending on ths ishu, ikiwa too political ni lazima waziri wahusishwe, lakini kama haina politics kabisaa ni mkuurgenzi binafsi as mkurugenzi ndiye mwenye mamlaka ya kuamua what to do, anayo power ya ku-act na kumuarifu rais baadye.
3. Mafaili ya viongozi wote wa juu wa taifa yapo Ikulu, ambako katibu wa ofisi ya rais ndiye incharge wake, rais anapotaka kum-promote kiongozi ni lazima apewe brief na usalama wa taifa na pia kupewa faili lake ambalo hawa usalama wa taifa ndio wanahusika nalo as far as information zake is concerned.
4. Usalama wa taifa wana a strong hand kwenye ku-object kupewa madaraka kwa kiongozi yoyote yule nchini, kwa sababu walizozifanyia uchunguzi, Mwalimu wakati anamkataa Lowassa kugombea urais, alikuwa na information nzito za kifisadi against him ambazo alikuwa amepewa na usalama wa taifa,
kwa hiyo ni wajibu wa usalama wa taifa kuwa habari za Chenge, kuwa na mapesa yote hayo nje na jinsi alivyoyapata, kwa sababu nilitegemea kuwa utakuwa ni wajibu wa usalama wa taifa kujua kiongozi wetu wa juu huko nje ameenda wapi na kufanya nini,
Takukuru na maadili, wanaweza ku-cordinate info, na huwa wanafanya hayo kwa sababu ninakumbuka wakati wa uchaguzi wa rais 2005, maadili walikuwa na info nyingi za muungwana, akiwa nje ingawa 90% zilikuwa ni uongo wa kubuni, sasa maadili walizipata wapi hizo info? Zilitolewa na maofisa wetu wa usalama walioko nje,
Mimi nikiwa US huko nyuma, kulikuwa na ofisa mmoja wa usalama, aliyekuwa akinifuata fuata sana na kutuma ripoti nyingi za uongo bongo zinazonihusu, akifikiri kuwa ana akili sana kumbe mimi nilikuwa ninamchora tu, na kumuona mjinga kwa sababu wakati anahangaika na mimi, kulikuwa na viongozi kama hawa Chenge wakifanya mambo yao ya ufisadi sasa unaona kwamba hii ishu inaangukia wapi usalama wa taifa. Huyu mkulu alinisingizia kuwa nilimmualika mgombea mmoja wa urais na wazungu walihudhuria na kuchanga dola karibu millions ili kumsaidia yule mgombea, kitu ambacho ni uongo wa mchana na a pure nonesense, tena ninaweza hata kulitaja jina hapa na ujinga wote lilikuwa likiufanya na wake za watu, badala ya kuwafuatilia kina Chenge, sasa haya ndio matokeo yake tunakuja kuumbuliwa na wazungu, na hili li-ofisa nalo lifukuzwe kazi pia, tena najua liko wapi sasa, maana haya ya Chenge yamefanyika likiwa kule US.
with me problem haiko kwa RO, kwani nayeye anahitaji kutunza family yake, mambo yake ya kujirusha na totoz well that is too personal, as long as hafanyi kama mh.wetu wa bunge kutumia mali na pesa za idara kuhudumi hizo totoz, Akijiuzulu leo kwa kuwa hakusikilizwa (ukweli ni kuwa alifahamu na kutoa taarifa) halafu akawekwa mwingine na mchezo ni ule ule what is the point ya kujiuzulu? ili yasimkute yaliyomkuta kombe RIP)itabidi akae kimya na hivyo watanzania hawatajua kwa nini amejiuzulu and that will remove the whole meaning ya ku-resign.
what we need is the system change, question we need to ask ourselves and actions we need to take are, what part of the system is needed to be changed? why are we changing it? and how do we like it to be after the change? then we make noise to change that.
Mkuu angalau kidogo una some sense, some of your points zinahitaji considerations.