Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

Status
Not open for further replies.
....
Hakuna anyemchukia mkurugenzi, ambaye mimi binafsi wala simfahamu ....

Mzee ES,

Habari za masiku mkuu?

Nimekuwa busy na ujenzi wa Taifa kwa ari, nguvu na kasi mpya ya ajabu.. kiasi imekuwa ngumu kuwa active humu JF, but trust me .. nnapita pita every now and then, na nnapata mengi ya faida.. ingawa na uongo pia uko mwingi.

Baadhi ya uongo ni kwa kutokujua lakini inakera pale inapokuwa ni uongo wa makusudi kabisa.. probably to serve certain interests/agenda.. and sadly, wana JF wengi wanauheshimu as ukweli, as long as uongo huo unaendana na trend ya kuponda na kulaumu viongozi, hata wasiostahili kupondwa!

Ukiwa Muongo .. especially wa aina yako Mzee ES.. inabidi uwe na good memory, otherwise utaumbuka. Maana mitandao hii ina keep records.. hakipotei kitu!

Leo unadai wewe binafsi hata humfahamu RO... na unataka ajiuzulu kwa kushindwa kazi??!!!

ES baada ya kumponda sanaaa RO (while ukiwa humjui), baadae ulikuja kudai umekutana nae mara nyingi na ukakiri kumkubali na kumfagilia RO kuwa he is doing a great job na kuwa sasa hivi anakubalika, na kuwa mmeshakutana mara nyingi.

Refer post zako za nyuma:
Ref: http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=6066&postcount=41

na ukarudia kusifia tena hapa

Ref: http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=6106&postcount=60

Eti leo tena unadai humjui na unataka ajiuzulu. Are you the same ES au ni watu tofauti tofauti mnatumia ID moja?

Nawaonea huruma wanaoendelea kukubali ‘data’ zako. Labda leo uwasaidie hawa unaowadanganya hapa as to what did RO do to impress you to the extent of kumfagilia as quoted above.

Piga madongo panapostahili, bila kuleta uongo. Utaheshimika that way!!!
 



KULIKONI...the return.


ES sijui ata DODGE vipi hii SILVER BULLET:



 
Kulikoni versus FMES! Hapa ngoma nzito.

Topiki inayohusu TISS lazima itakuwa inavuta hisia za pekee. Najua wenyewe wamo humu ndani...tena kwa wingi.
 
stop judging fmes, mitazamo inabadilika, watu wanabadilika.......kwa kifupi kila kitu kinabadilika hatuwezi kufumbia macho ukweli pale inapohitajika tusimame kwenye ukweli, na naamini mzee amejitahidi kufanya hivyo bila kujump kwenye band wagon, hayo ni maoni yangu tu, hata es anaweza kuyapinga.
 

Nyani,

I do not believe there is a single opposition party with an effective nationwide network, if that was the case the parliamentary seats would have reflected so.

How can you run a country if you do not even have an effective nationwide network.I believe this is the biggest challenge facing the opposition in Tanzania.

I am pointing this in an effort to strenghten the opposition as a patriot, and not as a CCM enthusiast.
 
Nimekuwa busy na ujenzi wa Taifa kwa ari, nguvu na kasi mpya ya ajabu.!

Mkuu karibu tena. Kumbe mpo ambao bado mnatumia huu usemi naona wengi wameshaukacha akiwemo muasisi mzee 6. Vipi na kale kamsemo ka-maisha bora kwa kila mtanzania-bado unakatumia au nawe umeshakatelekeza?
 
Sikutaka kuanzisha thread lakini tangu wiki iliyopita nimekuwa nikiomba hizi threads ziunganishwe ili tuwe na mtiririko mzuri wa habari

Nimeona bora niwarahishie kazi



RASHID OTHMAN ndiye Boss wa Usalama

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=169&highlight=TISS
Usalama wa Taifa wapo likizo?... Je, Waziri wa Intellijensia ni nani?

The Spies who loved me...AG, TISS, TAKUKURU, POLISI



http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=10207&highlight=TISS

Taifa lilipotekwa Nyara, Usalama wa Taifa walikuwa wapi?

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11575&highlight=TISS


Rashid Othman: Umeshindwa Kuhakiki Usalama wa Taifa, Jiuzulu !

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12174&highlight=TISS


GEORGE KAHAMA na ANDY YOUNG wamegombana?
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8264&highlight=TISS

Mashushushu kazini kuua waandishi?

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12160&highlight=TISS


Usalama wa Taifa (TISS) kumejaa wezi na mafisadi

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8997&highlight=TISS

Usalama wa Taifa

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9246&highlight=TISS

VETTING na BACKGROUND CHECKS serikalini
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=5519&highlight=vetting





 
Mkuu karibu tena. Kumbe mpo ambao bado mnatumia huu usemi naona wengi wameshaukacha akiwemo muasisi mzee 6. Vipi na kale kamsemo ka-maisha bora kwa kila mtanzania-bado unakatumia au nawe umeshakatelekeza?
Aisee,Hii ni noma sana..Nakumbuka kuna mtu alishawahi kusema yey ni mpishi.Tatizo lililoko hapa JF ni watu wanataka wasifahamike wao ni kina nani,

ILA KUNA WATU AMBAO NI UNTOUCHABLE..Yes i said Mwanakijiji na Lula wa Ndali Mwananzela ni mtu mmoja watu wakanigusa,nikatoa ushahidi tena wa maandishi wakaniona Mzushi na mpaka leo mwanakijiji hajaja kukanusha tuhuma hizo.

This Reflect who we are?We dare talk openly but we dont wanna be open to express who we are..

Nakumbuka Mwanakijiji alisema atajitokeza mapeama mwaka huu kujitambulisha,Je anasuburi nini?
 
Jamani,
Kwa kuwa sheria ya Usala wa Taifa ipo, nawashauri wachangiaji ktk mjadala huu waisome kwa makini halafu turudi ulingoni na kum-challange Bwn. Othman.

Nina mashaka makubwa sana kama "shinikizo" la kujiuzulu Othman ni sahihi. Hapa kuna mtu ana maslahi yake binafsi na anataka kutuingiza ktk ujinga.
 

Hili suala la Mwanakijiji kuwa lula linahusiana vipi na kinachoendelea sasa hivi?
 

Hii bado si chochote,

Unaweza kuwa unamfahamu mtu kwa namna na huyu mtu akakugeuka na akafanya mambo ya ajabu to the point ya wewe kufikia hitimisho la kutomfahamu tena huyo mtu ... fuatilia divosi zinazoendelea duniani.
 

Kinvaba,

Ina maana kuwa nukuu zote na viambatanisho vya Sheria na katiba tulivyoweka humu havitoshi? Au mwenzetu hukuvisoma na unataka mduara uanze upya?
 

.......duh!
 
Kwa kweli ni aibu, wale waliokua wanaitwa mashushushu enzi za Nyerere siku hizi mabishoo wanatesa vijiweni, wengi wao watoto wa hao hao ,what do you expect. ingekua uwezo wangu ningewafuta wote na kuwaweka wapya na kuwafuatilia nyendo zao.
 

..mwkjj,

..hii paragraph uliyoiangusha hapa ina maana zaidi ya 100%!

..mengi yanayosemwa yana mantiki, ila mengi zaidi ni maelezo ambayo si ya kweli au hayana kina cha ufahamu wa mambo!

..uliousema ndio ukweli wenyewe!
 
Hili suala la Mwanakijiji kuwa lula linahusiana vipi na kinachoendelea sasa hivi?

Yes i sad.Na suala la yeye kuelezea kuandika mambo katika Raia Mwema na TAnzania Daima linahusu mjadala huu??

Wewe ni king of Spining,Hata kule umejitahidi kumtetea Mzee FMES bila kumruhusu yeye ajietete Mwenyewe.Wewe ni Katibu wa Mwanakijiji??
 
Yes i sad.Na suala la yeye kuelezea kuandika mambo katika Raia Mwema na TAnzania Daima linahusu mjadala huu??

Wewe ni king of Spining,Hata kule umejitahidi kumtetea Mzee FMES bila kumruhusu yeye ajietete Mwenyewe.Wewe ni Katibu wa Mwanakijiji??

Unachotaka hapa ni nini?
 
Re.Kishoka,

Nimesema hivyo baada ya kuisoma vizuri sheria ya Usalama wa Taifa. Ninachoweza kusema ni kuwa, kuna watu wana chuki na Othman au hawajui vizuri majukumu ya Usalama wa Taifa, na wamekuwa WAVIVU kuisoma au wamesisoma lakini HAWAJAIELEWA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…