Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

Status
Not open for further replies.
bimdogo very soon nitakupa kile cheti cha mantiki na semantics...

Kusema kuwa umekutana na mtu mara nyingi ni tofauti na kusema kuwa unamjua mtu. Mimi nakutana na watu kibao hapa shuleni na kazini lakini wengi wao siwajui.
 
Mkuu FEMS ni vizuri kwa uungwana sio vibaya kuja hapa na kukiri kuteleza. Hivi inakuwaje sisi hapa tunajiona malaika, tunapokosea tunajiona hatustahili kukiri!! Ni vipi basi tunawalazimisha akina Chenge,Lowasa kujiuuzuru??
Wao walikuwa hawaoni tatizo kama ES ambavyo haoni tatizo na kukubali ukweli.Tumekuwa tunawaambia hawataki kujiuzuru kwa sababu ya kiburi na jeuri,je hii ya ES tuiite nini kama sio jeuri hiyo hiyo?

Nilishasema kutetea viongozi wa serikali ya CCM na kung'ang'ani kuwa huyu ni safi kwa sababu za kufahamiana au umekuwa naye au kusoma naye, ni kujiabisha na kujivunjia heshima kama ilivyothibitishwa sasa.
Bado yatakuja ya Masha watu wanaweka kumbukumbu.

Mkuu kuwa kichwa ni pamoja na kukiri kukosea.
 
Mkuu Nyangumi,

Najua FMES ajakuja hapa JF so sio kwamba amekimbia. Ila in the meanwhile, naomba ueleze kwa hakika kabisa alichodanganya hapa ni kipi na kisha uone bango nitakalomshikia kama kawaida yangu.

So far, nimesoma FMES alivyosema last time kuwa amekutana na huyu Othman mara nyingi. Sidhani kama kukutana na mtu kunaweza kuqualify kama kumfahamu mtu.

Wakati nikimsubiria aje kufafanua hili, mbona wewe usilisaidie baraza kwa maelezo zaidi katika hili?
 
Es mara nyingi amekuwa muongo na mtu wa kutunga hadithi kuna wakati alitudanganya humu kuwa kapata kazi usalama wa Taifa hivyo hatapatikana tena JF, ilikuwa desemba 2006. naona kutokana na watu wengi kuipenda kazi hii ya usalama lazima watajenga chuki kwa mtu kama Rashid Othman.
 
Wewe ndiye unaonekana kuwa na chuki na FMES kwa kumzulia mambo ya uongo hapa!
 
Jamani habari zenu. Nimekuwa busy kidogo na shughuli za kujenga Taifa na kwa sasa niko Mpanda kikazi.

Kuhusu huyu muungwana tunayetaka aachie ngazi naomba kuwamegea mawili matatu ambayo bila shaka tukichanganya na mengi yalisemwa juu yake yanaweza kabisa kutusaidia kufikia uamuzi.
Huyu jamaa ni mcheshi, hupenda kujichang'anya watu, ni mtu mkarimu sana, husikiliza kwa makini sana, huchambua mambo kiundani kabla ya kutoa uamuzi, si mwoga hata kidogo kutoa ushauri, ana management skills and ability, anakubali mabadiliko.
Kwa taarifa yenu toka amechukua kitengo hicho kumekuwa na mabadiliko makubwa sana. Ameleta ufanisi katika kazi kwa kuwapa vijana wake vifaa vya kisasa vya kufanyia kazi na kuweka mazingira bora ya kufanyia kazi.
Mambo haya ya kuwafichua wezi na mafisadi ni moja ya juhudi zake kwani si mtu anayependa uchafu kama huo hata kidogo. Kuna vitu anasemwa kwamba hakufanya wakati alipokuwa London kama Field Officer, kuna ushaidi kwamba hakufanya kazi yake?. Ni imani kubwa sana alifanya kazi yake lakini hakusikilizwa na hasa kama mapesa yaliyokuwa yanawekwa huko Great Britain yalikuwa ya dili la Rada na katika kipindi cha Mkapa (Mbabe). Ningeomba tumuhukumu kwa kufuata haki na vilevile tumpe muda kwani ni muda mchache sana toka amechukua ofisi.
 
don't even think... just keep discussing Othman.. utabondwa.

Mkuu vipi tena? naona unakuwa kama ndugu zetu wa St Peters pale...Speaking of St Peters kuna mtu anakumbuka incident yao moja waliyoenda kituo cha polisi kijitonyama na kuwatoa wenzao uku wakipiga mkwara wa nguvu...hizo nguvu wanazitoa wapi?

Bado nasubiria (ma)jibu, kazi za hawa agents wa TISS kwenye balozi zetu, mashirika ya umma na taasisi nyingine za serikali ni zipi?
 
Mabalozi wengi tu wazee ukishaona mshua ana "Ofisi ya Rais" katika resume ujue mambo, ndiyo walivyokuwa wanaitwa.

Kazi zao supposedly ni mambo ya espionage 🙂 .Gathering of intelligence in international relations and such vague bs.

In other words, drinking expensive Jack Daniels and turning in some James Bond like bills in the name of the Republic.
 
Jamani habari zenu. Nimekuwa busy kidogo na shughuli za kujenga Taifa na kwa sasa niko Mpanda kikazi.

Kuhusu huyu muungwana tunayetaka aachie ngazi naomba kuwamegea mawili matatu ambayo bila shaka tukichanganya na mengi yalisemwa juu yake yanaweza kabisa kutusaidia kufikia uamuzi.
Huyu jamaa ni mcheshi, hupenda kujichang'anya watu, ni mtu mkarimu sana, husikiliza kwa makini sana, huchambua mambo kiundani kabla ya kutoa uamuzi, si mwoga hata kidogo kutoa ushauri, ana management skills and ability, anakubali mabadiliko.
Kwa taarifa yenu toka amechukua kitengo hicho kumekuwa na mabadiliko makubwa sana. Ameleta ufanisi katika kazi kwa kuwapa vijana wake vifaa vya kisasa vya kufanyia kazi na kuweka mazingira bora ya kufanyia kazi.
Mambo haya ya kuwafichua wezi na mafisadi ni moja ya juhudi zake kwani si mtu anayependa uchafu kama huo hata kidogo. Kuna vitu anasemwa kwamba hakufanya wakati alipokuwa London kama Field Officer, kuna ushaidi kwamba hakufanya kazi yake?. Ni imani kubwa sana alifanya kazi yake lakini hakusikilizwa na hasa kama mapesa yaliyokuwa yanawekwa huko Great Britain yalikuwa ya dili la Rada na katika kipindi cha Mkapa (Mbabe). Ningeomba tumuhukumu kwa kufuata haki na vilevile tumpe muda kwani ni muda mchache sana toka amechukua ofisi.

Na ile barua ya kwenda kwa Lowasa ya kushauri kuwa hoja za Dr Slaa zisijadiliwe bungeni ni nani alipitisha?
 
yaani hadi nikutaje jina lako humu ndio utajua unajulikana na chuki zako? Cheo hicho cha Foreign sikukupa mimi amekupa jamaa yako. Kwenda mwezini ni maumbile. Labda kwenu hakuna wanaokwenda mwezini. Naweza kukupa mifano michache ya watu wa upande wako wanaokwenda mwezini.

Wewe uchukue fedha za UwT halafu uchukue na fedha za Foreign. Wewe mtetee RO kwa sababu una maslahi yako binafsi. Hizo 2500 ulizolipwa ndio bei ya usaliti kwa nchi yako.

asante.

Ina maana Mswahili anafanya Foreign? naomba uniweke wazi, naomba mtaji tumjue au uni PM?
 
CCM wanafukuana wenyewe na sisi popcorn zetu tayari kabisa for the second movie..... skandali za mswahili aka chinga aka mtalii aka ... ndio mwanzo zimeanza kuanikwa!

Yeye ajiandae tu ila majina hayatatajwa kama kawaida ya JF!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom