Rashid Shamte ni nani?

Ccm wanakomeshana, Visasi na dhuluma zitawatokea puani
 
Watu na network zao bhana,tulilalamika hapa huduma za mitandao mbovu,huduma za mitandao gharama,watu kimyaaaa
 


Mambo yako mahakamani na hakuna kuficha kitu. Wabunge wa Ukawa kazi kwenu. Fichueni na mengine kwani hata haya makubwa hayalipi kodi stahiki.
 
mpaka mapesa yanachotwa walikuwa wapi?! fix hizi
Kwa hali hiyo unataka kutuaminisha kwamba baada ya kuwapiga kimya mwaka 2010 na mwaka 2014, ndo sababu zilizofanya akamatwe? Au Ni hisia zako2, na kama walishindwa mwka 2010 je ni jasiri gani aliyeamua kumkamata?
 
Nakubaliana na kuwepo conflict of interest; acyually ni conflagration ya chama chetu tusubiri picha kamili. Waliniudhi kushiriki kuchakachua matokeo ya uchaguzi kwa ajili ya ujira. As for Makamba atafika mwisho wa ukuta sasa anaisoma namba hajaielewa.
 
Kuna mahali nilisema ukiona watendaji wa serikali hii wanaenda kutekeleza wajibu wao wa kila siku wanakusanya wapiga picha wa Television kuna mawili. Eitha ni kutafuta sifa na kiki kwenye kazi yao, au kuna jambo linafichwa hapo.
Lakini kuna watu walinishukia kama mwewe nakusema huo ni wivu wa utendaji wa Hapakazituu!
 
IFC, Aldwych International, and Six Telecoms to Develop 100 MW Wind Farm in Tanzania

Hivi huu mradi wao na kampuni Aldwych wa umeme wa upepo singida uliishia wapi?
 
Mh.. hiyo kampuni mbona ni kama vidagaa tu ,vodacom,tigo mbona wao hawaguswi ,

..huyu kasababisha hasara ya bilioni 8 mnasema ni kadagaa.

..sasa hao mapapa wamekwepa ngapi?

..ukumbuke Mramba yeye kosa lake lilihusiana na kodi ya bilioni 11.

..vigogo wa Tra na Bandari wahusika ktk upotevu wa maelfu ya makonteina wamesababisha hasara ya bilioni 14.


cc Waberoya
 
binafsi siipendi ccm kufaaa..

hawa wajinga wanatuzuga tu..

huyu shamte mtoto wa kishua mboga saba bava yake sijui alikuwa waziri / makamu zanzibar huko..

hajui shida ni nini... kasoma na january usa huko best university..

karudi bongo kafungua kampuni na kuanza kupiga hela.. tenda anapewa kwa upendeleo.. plus dili za ccm.. as kampuni yake ni mojawapo wa it specialist wa ccm hasa kwenye elections..

sp hata asumbuliwe vipi sio levo za kina sisi waajiriwa wa kulipwa vi milioni...

ni kizazi cha ccm hiki.. siwapendi ccm kufa
 


Baba YAke kwa Ndio alikuwa Meneja Mkuu wa Mkonge Tanzania baada ya kustaafu akawa mwenyekiti wa bodi ....ndiye aliyekabidhiwa na nchi kuendesha mashamba yote ya Mkonge nchi hii ....Kama Board ya Mkonge ....yalimfia mkononi kwa sababu Za kibiashara ....lakini pia kulikuwa na upotevu mkubwa Sana wa pesa Za Mauzo ya nje ya mkonge ......ikidaiwa kuna pesa zilikuwa zinaingia kwenye his personal account , ilikuwa in corridors of power wanasema Mkonge ni Shamte na Shamte ni Mkonge
Mzee Shamte , wakati wa utawala wa Mwinyi ambapo juhudi Za kufufua Mkonge zilianza naye alijitwalia shamba kubwa la zaidi ya heka 50'000 Za Mkonge ambapo hadi Sasa linafanya vema......kwenye Sakata la NSSF kukopesha ..."mikopo" Nafuu shamba Lao lilimegewa Bilioni 10 ......ambapo pia wanufaika wengine Baadhi ni Seif wa viwanda vya Mtibwa na Kagera ambao jumla walipewa Bilioni 50.
 
Kwa hiyo hawa jamaa ndiyo watekelezaji wa bao la mkono,baada ya mipango yote kusukwa pale Lumumba?
Kama ni hivyo basi ni upepo tu utapita.
 
Na inawezekana moja kati ya kikosi kilicho ingilia mtandao huu wa JF siku zile tatu iliposimama mwaka jana.
 
KUna kitu hamkijuhi au hamfuatilii embu someni hapa, HASA WALE WANAO ULIZIA KUHUSU VODA, TIGO AND AIRTELL.
Issue ni kuw amtambo wa kukusanywa mapato inaonekana uliponunuliwa hakukufugwaa kwenye simu za ndani, bali ulifungwa kwenye simu za njeee ya nchi, cha kujiuliza kwanini sio za ndani? je hizi za ndani aziibiwi?
so tusahahu kuhusu simu za ndani hizo bado mtambo unatafutwa labda.



Installation of the Telecommunications Traffic Monitoring System (TTMS) - A New Regulatory Tool

The successful installation and implementation of the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA’s) Telecommunication Traffic Monitoring System (TTMS) is not only a revolution but also one of the greatest achievements to the country’s communication Sector.The TTMS project started with a transparent procurement process where after advertising an Expression of Interest internationally, twenty four companies applied.

This was followed by a transparent evaluation process that ended with five companies which were invited to present Request for Proposal. Finally, the company that won the tender is a consortium of Societe Generale de Surveillance (SGS) and Global Voice Group (GVG) was appointed. The project is being financed under “Build Operate and Transfer” (BOT), whose main advantage is that no funds are paid up front.

The TTMS project that employs state of the art technology has multiple benefits including boosting of the government revenue, detecting and tracking illegal communication operators who had the capability of causing the dwindling down of earnings of licenced operators of the communication services. The TTMS Network Operating Centre (NOC) is housed at the TCRA Headquarters.

The regulatory framework that enables the TTMS project is the Electronic and Postal Communications (TTMS) Regulations of 2013. In these regulations, it is spelt out that each minute of incoming international call is charged USD 25 cents, from international network operators get 13 cents, the government receives 7 cents, and the balance of 5 cents is shared by the consultant and TCRA for maintenance. This enables the Treasury to earn about TZS 1.6 billion monthly from TCRA or about TZS 20 billion annually.

The country’s communication sector has undergone exponential growth in recent years with the number of SIMCards sold increased from 2.1 million in 2004, to 17.6 million in 2009, to 28 million in 2014.

The TTMS facility started working on 1st October last year, and disbursements to the government started in January 2014, as it takes time for the network providers to receive payment from international carriers and in turn process payment to TCRA.

The equipment has enabled easy tracking and booking of fraudulent operators who were not only depriving the government of its revenue but also muddled with smooth regulatory role of the communication sector.


Fraudsters’ acts also interfered with the TCRA positioning statement of ‘Creating a Level Playing Field’ as they tapped incoming international calls through illegal gateways and unlawfully pocketed the earnings.

In what projects the significance of the TTMS equipment, His Excellency President Dr Jakaya Mrisho Kikwete launched the facility on 27th February 2014 commending TCRA for what he described as promising step towards building the Nation.

Dr Kikwete appealed to other institutions in the country to uphold efficiency and be strategic in their execution of duties so as to bring about sustainable development of the country and contribute effectively to upgrade the living standards of Tanzanians.

Success in the establishment of the economically viable TTMS project emanates from well-co-ordinated initiative and joint efforts from the TCRA Board of Directors, Management and staff towards the project.

The TTMS has the capacity to have “add ons” to the current capabilities. These include: Quality of Service (QoS) measurements, to establish telecommunication traffic volume both local and international, to determine revenue/carrier access Billing information and Mobile money monitoring, the hosting of the Central Equipment Identification Register (CEIR).

There is no doubt that the installation of the TTMS has brought a new regulatory tool to the Authority. This will bring more professionalism and efficiency in the communication sector.

Dr.Ally Yahaya Simba

DIRECTOR GENERAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…