Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Hivi sakata lake la kukwepa kodi liliishaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh sasa kama huyu Shamteh alisaupport Chama Chetu Kikuu kipindi cha capaign kwa zile hate msg zao leo inakula kwake hivi hivi?
Hakika nawaambieni mara hii hakuna atakayepona .....
Vuteni Popcorn Movie ndio kwanza Trailler
Duh, sasa kama hayo ni ya kweli, kwamba amekuwa akiwaingiza "town" wabia wake katika uhalifu, si hatari kiasi kwamba wangeweza kumtanguliza mbele ya haki!!!??Hii kampuni ilitumika kwenye Uchakachuaji wa matokea ya uchaguzi wa ccm na kuna pesa ilipitishwa huko ikiwa ni pesa za January na wenzake lakini inasemekana Rashid shamte kawadhulumu hiyo pesa huku akifukuza wale wote waliokuwa wakionyesha kutounga mkono huo mchezo wa Hatari na inasemekana pia hii ni mara ya pili Rashid anawaingiza town kwani hata uchaguzi wa 2010 aliwapiga pesa zao walizopitishia kwake.
Naifuatilia taarifa yako , siipuuzi kijinga .January makamba kapigwa pesa yake aliipitishia humo ili aje aichukue baadae Vijana wameipiga kimya kimya ndiyo maana kaamua kumwaga Ugali
Siyo kweliKuna mdau hapa mesema Salum Shamte ni baba wa Rashid Shamte.!
Wote ni marehemu sasa kwa maelekezo ya kinyama ya Magufuli. Naye Magufuli ni marehemu pia. Dunia hii tumuachie Mungu pekee ndiyo aite watu wake, kamwe TUSIJIKWEZE kama MagufuliRashid Shamte wa Six Telecom hana uhusiano wa nasaba na Salim Shamte wa Mkonge.