Rashid Shamte ni nani?

Haya Majina haya bwana ,pale Moro Mafiga,kuna Bodaboda Anaitwa Rashid Shamte,nikadhani huyo kumbe siyo huyo
 
Reactions: SDG
Duh sasa kama huyu Shamteh alisaupport Chama Chetu Kikuu kipindi cha capaign kwa zile hate msg zao leo inakula kwake hivi hivi?

Hakika nawaambieni mara hii hakuna atakayepona .....

Vuteni Popcorn Movie ndio kwanza Trailler

Meno ya Mbwa hayo mkuu kuumana ni nadra sana.
 
Amewaacha wazee wakasote selo yeye anakula Bangi zake uraiani!!! Shame Shamte!!! Bado Erick wa WIA....namsubiri siku na yeye aje apande Kisutu ameiba sanaa kodi za TRA....tunajua michezo yake yoote....TRA waje tutawapa data zake.....na zile dharau zake akashike mtondoo wa mavi jela...namsubiria sana...watakutana na wasanii wenzake wapo wengi tu kina Isaac Kasanga!! Ndio wale wale!!!
 
Duh, sasa kama hayo ni ya kweli, kwamba amekuwa akiwaingiza "town" wabia wake katika uhalifu, si hatari kiasi kwamba wangeweza kumtanguliza mbele ya haki!!!??
 
Shamte huyo ndo wa kina Dr Ringo?
 
Duh! Kazi ipo.
Jamii forum wewe kiumbe kibaya sana unatunza kumbukumbu kama huna akili nzuri!
Binafsi nakuombea maisha mema ndugu yetu .
 
Rashid Shamte wa Six Telecom hana uhusiano wa nasaba na Salim Shamte wa Mkonge.
 
Rashid Shamte wa Six Telecom hana uhusiano wa nasaba na Salim Shamte wa Mkonge.
Wote ni marehemu sasa kwa maelekezo ya kinyama ya Magufuli. Naye Magufuli ni marehemu pia. Dunia hii tumuachie Mungu pekee ndiyo aite watu wake, kamwe TUSIJIKWEZE kama Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…