Rashida Wanjara ni hodari wa mapenzi

Rashida Wanjara ni hodari wa mapenzi

Anauza bei gani?I mean nikihitaji kuenjoy naye nijiandae na kiasi gani!ni vizuri pia ukaniulizia kama anapiga show za Ambaruty ili nijipange uzuri.
 
Write your reply... Mbona dada zenu hamuwaandiki tabia zao hapa jf ...haipendezi kumfuatilia mtu kwa style hii
 
Namnukuu prof jay......."yalisemwa mengi demu wangu alipotoroka(rashida wanjara) ni fundisho tosha na changamoto kwa mwanachoka....."
 
Wakati anagombea tuseme alikua na 19yrs. Kwahiyo sasa hivi atakua na 37yrs eeh.

Huyu dada toka niko primary namsikia mpaka nimekula bata mjini na kulipunguza yeye yupo tu..
 
unapenda vitu vya hovyo sana,mwanamke mzuri haswa,anayejiamini na kujiheshimu,haangaiki na manywele ya dukani,photoshoot filter kama zote,wala mamake up ya kuzidi.njoo huku uswahilini nkuonyeshe wanawake wazuri tena Natural,akitoka kulala mzuri,akiwa na hasira bado mzuri,akilia mzuri,akitabasamu ndo usiseme,ngozi ya asili nywele asili.
 
Ama kweli hakuna marefu yasiyokua na ncha!

Enzi zile tupo wadogo sana huyu demu alikua anavuma sana kwa umaarufu intake ya kina jakline ntuyabaliwe ...tunamskikia tu

Wenzie wengi wametusua ila yeye miaka kadhaa badaye bado anacheza baikoko!
 
Miongoni mwa mademu ambao napata sana uchu wa mapenzi kila nikiwatazama ni huyu mwanadada Rashida Wanjara ambaye aliwahi kuwa miss Mara mwaka 2000 pia alikuwa Miss TZ ambapo alishika nafasi ya tano.

Rashida au ukipenda muite Chida ana kamwili fulani hivi katamu sana ambacho akiishi hamu kukitazama sawa na rafiki yake wa muda mrefu Isabella Mpanda.

Ukitaka ku enjoy na Rashida Manjara usikose kufika Club Next door kila siku ya Jumatano.

View attachment 925351View attachment 925352View attachment 925353
Anawavutia wanaume wa dar tu...kwa mikoani uyu nikama kangaroo tu[emoji41]
perfectcrispin-20181110-0001.jpeg
 
Mtoa mada ni mchele mchele anaanzaje kutamani mademu sasa...acha zarau
Tunda hatamaniwi tena naona[emoji1787][emoji1787]. Oya bro Hance Mtanashati unajua anapo patikana Club next door huyu Rashida sasa inakuwaje hujamwaga sera za uchaguzi. Au ndio domo zegee [emoji38][emoji38]


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Kuna kipindi alikwenda Belgium yakamshinda ,yaani alikosa hata kibabu cha kumuweka ndani.
 
Ilikuwaje akawa miss mtu bonge
nadhani awali alikuwa mwembamba then akaja kujiachia mnoo ".... hicho kipindi alicho jiachia ndio kipindi ambacho alikuwa anafahamika so kutokana na ufinyu wa technology ya wakati huo ilikuwa ni haba kuweza kuzipata picture zake za awali ...
 
Back
Top Bottom