Rasilimali za nchi hatizakiwi kutumika kumtetea mtu yeyote yule katika Mahakama ya ICC

Tanzania imekuwa na ujinga mmoja ambapo rasilimali za nchi zimekuwa zinatumika kumlinda, kumtetea na hata kufungulia mashtaka watu kwa kesi binafsi za kiongozi.

Unaweza kukuta mtu anachapisha jambo fulani kuhusu kiongozi fulani, ambalo labda jamii, muhusika au vyombo vya serikali vinalitafsiri ni kashfa, kumvunjia heshma, nk.

Badala ya yeye kiongozi mwenyewe kufungua kesi binafsi, atatumia Polisi, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumkamata na kumfungulia mashtaka mtu yule kwa makosa mengine (utasikia makosa ya kimtandao, uchochezi, uhujumu uchumi, nk.) wakati hapo ilitakiwa kiongozi atafute Wakili binafsi na kufungua kesi ya madai.

Huu ulikuwa ni utangulizi. Twende katika hoja ya uzi huu.

Nia ya uzi huu ni kukumbusha kuwa iwapo kuna mtu au watu watafunguliwa mashtaka yoyote katika Mahakama ya ICC kuhusiana na matukio ya MO29, kesi hizo zitawahusu wao binafsi na uhusika wao katika matukio yale.

Rasilimali za nchi hazitakiwi kutumika kuwatetea wala kuwalinda watu hao katika kesi hizo. Kama wataamua kumtumia Wakili Kibatala litakuwa jambo jema ili pesa ibaki hapa hapa nchini.

Haitakiwi pesa na rasilimali zingine za nchi kutumika kulipia wanasheria wa ndani au nje ya nchi kwa ajili ya utetezi wa watu hawa. Ujumbe huu umfikie CAG!
Nenda kasome sheria wewe bwege, acha kuandika hisia hapa.

Unatunga kesi ambayo haipo na inaweka washtakiwa ambao ni wafanyakazi/ viongozi wa Serikali. Na makosa ya mwisho unayoyafanya ni kutotaka watetewe na Serikali.
 
Huyo atakuwa Gen Z wamejaa hisia za kitoto vichwani mwao.
 
Tanzania imekuwa na ujinga mmoja ambapo rasilimali za nchi zimekuwa zinatumika kumlinda, kumtetea na hata kufungulia mashtaka watu kwa kesi binafsi za kiongozi.

Unaweza kukuta mtu anachapisha jambo fulani kuhusu kiongozi fulani, ambalo labda jamii, muhusika au vyombo vya serikali vinalitafsiri ni kashfa, kumvunjia heshma, nk.

Badala ya yeye kiongozi mwenyewe kufungua kesi binafsi, atatumia Polisi, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumkamata na kumfungulia mashtaka mtu yule kwa makosa mengine (utasikia makosa ya kimtandao, uchochezi, uhujumu uchumi, nk.) wakati hapo ilitakiwa kiongozi atafute Wakili binafsi na kufungua kesi ya madai.

Huu ulikuwa ni utangulizi. Twende katika hoja ya uzi huu.

Nia ya uzi huu ni kukumbusha kuwa iwapo kuna mtu au watu watafunguliwa mashtaka yoyote katika Mahakama ya ICC kuhusiana na matukio ya MO29, kesi hizo zitawahusu wao binafsi na uhusika wao katika matukio yale.

Rasilimali za nchi hazitakiwi kutumika kuwatetea wala kuwalinda watu hao katika kesi hizo. Kama wataamua kumtumia Wakili Kibatala litakuwa jambo jema ili pesa ibaki hapa hapa nchini.

Haitakiwi pesa na rasilimali zingine za nchi kutumika kulipia wanasheria wa ndani au nje ya nchi kwa ajili ya utetezi wa watu hawa. Ujumbe huu umfikie CAG!
Pascal Mayalla anahoja na asikilizwe. Rasilimali za nchi nikwamaendeleo ya nchi
 
FAKE NEWS
Screenshot_20260112-170834~2.png
 
Isingeundwa ile tume ya Chande mpaka muda huu Samia angeshapelekwa ICC.

Makosa yaliyofanyika yanaitwa 'crime against humanity' mauaji ya binadamu, makosa yanayotendwa dunia nzima kila siku hivyo yanaruhusiwa kisheria kuundiwa tume ya Rais hata kama ni yeye anayehusika na mauaji hayo.

Ingekuwa imetendwa genocide mauaji ya halaiki, mfano SSH angekuwa kafanya uhalifu dhidi ya kabila fulani mmoja la Tanzania mpaka muda huu angeshakamatwa na kushtakiwa na kuhukumiwa.
SIKU ILE POLISI WALIOKOA NCHI NA RAIA WEMA KWA KUWAPUNGUZA MASHETANI , MAHAYAWANI , MAJAMBAZI , MAJANGILI NA MASHENZI MAKUBWA
 
Walitazama kwenye TV ule ujinga wa Madagascar na Sri Lanka kule raia walipoingia mpaka ikulu wakaanza kujaribisha nguo za marais na kulala kwenye vitanda wakadhani na hapa Tanzania wanaweza kufanya upuuzi ule, thubutuuu.

Leo wanaanza kujitilisha huruma kwa taasisi za kizungu kina EU eti wasaidiwe ili SSH afunguliwe kesi!.

Wameshahau waliwakata watu vidole kisa walipiga kura, wameshasahau namna walivyochoma moto vituo karibu vyote vya mwendo kasi , vituo vya polisi na mali nyingi tu za wafanyabiashara mbalimbali.
 
Back
Top Bottom