Rasilimali za nchi hatizakiwi kutumika kumtetea mtu yeyote yule katika Mahakama ya ICC

Wanapachika majina ya Nyerere kila sehemu ila kauli na matamshi yake hayaendani na ni kinyume cha yale wanayoyafanya.

Juzi juzi nilienda sehemu nikaambiwa panaitwa Kambarage Square, nikashangaa sana. Bado hawajatumia Mchonga Road.
 
Wanapachika majina ya Nyerere kila sehemu ila kauli na matamshi yake hayaendani na ni kinyume cha yale wanayoyafanya.

Juzi juzi nilienda sehemu nikaambiwa panaitwa Kambarage Square, nikashangaa sana. Bado hawajatumia Mchonga Road.
 
 
Vichwa vitupu ni nyinyi mnaogeuka mtaji wa yule changudoa aliyechanganyikiwa wa kule California.

Akikaa na marafiki zake anasema nina majinga yangu yapo kule Tanzania ngoja nirushe video niongee nayo!.

Baadhi ya watanzania tuna akili za kipuuzi sana, tulidanganywa na yule tapeli mkongomani aliyekuja nchini kwa tiketi ya uchungaji, alipofukuzwa akarudi kwao akatuma video mtandaoni akiwakejeli watu wale wale waliomtetea mbele ya kamera za waandishi wa habari!.

Siku hizi mchungaji yule feki kaichubua ngozi yake yote kawa kituko.
 
Tz tunaendesha mambo kienyeji, mifumo yote ni mfu, uongozi ni kiini macho, hakuna wanachofanya, na ni rahisi sana kuwa katika hizo nafasi kwani hazimlazimishi aliyezishika kuwajibika,, kuumiza kichwa, kutatua matatizo ya jamii. Ni kula pesa, kubebwa na walio chini ili uwalinde kama wanavyokulinda (ukinipamba nitakupamba la sivyo nitakuparura), wafanye ubadhirifu kama uliye juu unavyofanya ubadhirifu(kuleni kwa urefu wa kamba), siku zinakwenda. Kama ambavyo hata kampeni za uchaguzi, anayegombea urais hasa mhula wa pili, ni kama vile serikali ndio inamfanyia kampeni kwa kutumia rasilimali zake, na bado wizi wa kura uko pale pale. Sitashangaa, mwanasheria mkuu akaenda kuwawakilisha watuhumiwa wa ugaidi na mauaji yale!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…