Rasilimali za nchi zina wenyewe, nchi inaendeshwa kwa pesa za sigara, bia, pombe, vinywaji, kamari na PAYE tu

Rasilimali za nchi zina wenyewe, nchi inaendeshwa kwa pesa za sigara, bia, pombe, vinywaji, kamari na PAYE tu

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Mchanganuo.


- Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine.

- Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama madarasa, majengo ya Vituo vya Afya )

- Misaada kutoka kwa wazungu ndio hugharamia huduma za (Afya)

- Kodi za TRA ndio hutadhili (Anasa za Wanasiasa) na teuzi Kama magari ya kifahari, miposho, chaguzi, na takrima.

IMG_20230810_185040.jpg
 
Mchanganuo.


- Mikopo (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine.

- Tozo za Mafuta na simu (miradi midogo Kama madarasa, Vituo vya Afya )

- Misaada (Afya)

- Kodi za TRA (Anasa za Wanasiasa)

View attachment 2742507
Nchi hii ni ya kipuuzi sana mkuu. Ukiwaza sana kichwa kitauma
 
Back
Top Bottom