Rasimisha biashara yako kwa wigo mpana wa fursa

Rasimisha biashara yako kwa wigo mpana wa fursa

Joined
May 22, 2017
Posts
51
Reaction score
21
Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu?
Usiogope, kwa maana sasa MOMS Consulting tunakusaidia katika kila hatua kuelekea mafanikio yako:

Kuanzia usajili na kurasimisha Biashara kwa hatua zote muhimu kama ifuatavyo:-
1.Usajili wa kampuni
2.Ufuatiliaji wa Tin, tax clearance na kufanya Makadirio ya kodi
3.Leseni za biashara(Manispaa na BRELA)
4.EFD mashine na Mfumo wa VFD
5.Usajili wa NEST
6.Usajili wa NGO
7.Uandaaji wa mpango wa Biashara(Business plan)
8.Uwasilishaji wa ritani za TRA kila mwezi yaani SDL, PAYE, SOETP, ROI na WHT
9.Preparation and facilitation of TRA objections
10. Ufatiliaji wa leseni za Microfinance BOT
11. Kutimiza matakwa mengine ya Biashara kama vile NSSF, WCF, OSHA, FIRE nk

Kwa gharama nafuu kabisa tunakufanyia kazi kwa haraka na ufanisi wa hali ya juu kutokana na uzoefu wetu.


Tumesaidia wafanyabiashara zaidi ya 500 katika kuanzisha biashara zao na wamefanikiwa.

Niandikie tu ‘Nataka kuanzisha’! Au piga simu namba 0712685025 au 0783262125

Biashara yako, maono yako, sisi tunayafanya yawezekana!"
 

Attachments

  • IMG_2192.png
    IMG_2192.png
    985.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom