Rasimu kuja kuja wazenji wasepe

Rasimu kuja kuja wazenji wasepe

kontakinte

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
53
Reaction score
8
Tanzania jinchi kubwaa hata kuendeleza mikoa ilonayo inashindwa kazi kushikilia kijisiwa kidoogo ambacho hata watanganyika wenyewe washasema basi
TATIZO CCM INAONGOZA HADI KINA WARIOBA... hili ndio tatizo
Labda niwasaidie wenye fikra za ushindani.
1-suala la kazi sheria zitapangwa kila sehemu pana kila aina ya wageni
2- suala la makaazi sheria zipo usa wapo watanganyika miaka kwa miaka
3- suala la pesa kila nchi na pesa yao hakuna tatizo
4-mikoa ya tanganyika inataka maendeleo tukieendekeza znzbar huku tunaunguza
Tanganyika tuwache kasumba
hivi mtu akioa zanzibar mkewe amuache? upumbavu wa maskani udugu wetu uko pale pale kama ujinga unao wewe mtanganyika usojielewa na usituaibishe kwa kutokusoma kwako
tanganyika first zanzibar next. udugu haupotei na urafiki tutaendelea
 
Yap.Tanganyika kwanza,mengine baadaye.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom