IBARA 180 (3) (e)
(3) Ili kutekeleza masharti ya Ibara ndogo ya (1) na (2), mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa sheria utakaowezesha:
(e) kuweka utaratibu wa kuandikisha raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoishi nje ili kuweza kupiga kura katika uchaguzi au kura ya maoni;