nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Karibu tena na mchango wako ni muhimu sana maana elimu ya kura ya maoni inaendelea ili watu wafanye maamuzi sahihi ya kuipa ridhaa Katiba inayopendekezwa,kukaa kwako kimya unaonekana mchoyo wa elimu!!
Kwa sasa nipo kamili kinjekitile! Awali ya yote nitofautiane na wewe kidogo, katiba inayopendekezwa haifai kupewa ridhaa na wananchi baada ya kunyofolewa kwa madaraka yao dhidi ya watawala.
Karibu na ufunguke zaidi labda na mimi ambaye ntapiga kura ya ndiyo ntakuelewa nikabadili msimamo!!
Soma tunu za taifa kwenye katiba inayopendekezwa ulinganishe na tunu za taifa kwenye katiba ya wananchi maarufu katiba ya WARIOBA ukimaliza tuanze mjadala
Endelea..
Rasimu ys katiba iko wapi?
mimi namini tuna twaga maji kwenye kinu hio yote mnaisema haiwezi kutokea ila katiba ya kuwakamata vigogo ni vuli sana mana kama akikamatwa na lushwa kawainda afugwe njela au afilisiwe mali alizo nazo au vote viwili mbona watashika heshima
Nimejikuta tu napenda mwandiko wako!
Ndg yangu umesikia ya Mahakama huko England kuhusu TZ, watu wamekwiba 1.2 tirioni. Kumbuka katiba ya Chenge inaruhusu hii kituHaya ndo majibu ya shule za kata, si ajabu kukuta alieandika hivyo ni kidato cha sita...
Mtu hawez kukata kuti alilolikalia hata cku moja