Joshua Bukuru
Member
- Apr 16, 2011
- 76
- 95
jamhuri ya tanganyikakifungu 60 (1) kimenipa raha tu na hizo ndizo zilikuwa ndoto zangu tanganyika hiyooooo
bila shaka ulikuwa unamaanisha nakala tepe.mm nilidhani tayari umeshaweka kivuli laini.
bila shaka ulikuwa unamaanisha nakala tepe.
Mbona inagoma kufunguka au haitaki kufunguka kwa kutumia cm
Kwa sim inasumbua,labda utumie yenye uwezo wa kufungua pdf
Kazi nzuri ya Jaji Warioba....................... kumbe walimwua Mvungi wa watu haijawasaidia