asante ila nyie maprofesa uwa mna manakala mengi sana, ivi si unaweza kututaftia hata nakala ya hati ya Muungano?na najua unayo ramani ya tanganyika kwenye briefcase yako profesa, vipi waweza kutusaidia? na wimbo wa Tanganyika na bendera yake,,,,ukifika posta ya zamani pale, kaa kwenye bustani fungua iyo briefcase yako ,japo kwa uzee wa nyaraka na briefcase imefungwa kwa mipira ya tube za baiskeli ila utakuwa umetusaidia sana...prof ukiweza kupata ile KATIBA ya TANGANYIKA itakuwa bora tusitunge nyingine, ni kuizindua tu....ASANTE PROF.