hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Tanganyika pia itakuwa kama hivyo. Itabidi muachie ardhi yetu bila masharti!Ardhi sio jambo la muungano kila pande itaamuavyenyewe, ila kwa sisi znz ipo clear watanganyika hamruhusiwi kumiliki ardhi yetu.
hawaruhusiwi ni watanganyika tu, au watu wengine kutoka nchi za nje kama oman kenya uingereza muskat nk?Ardhi sio jambo la muungano kila pande itaamuavyenyewe, ila kwa sisi znz ipo clear watanganyika hamruhusiwi kumiliki ardhi yetu.
Ardhi sio jambo la muungano kila pande itaamuavyenyewe, ila kwa sisi znz ipo clear watanganyika hamruhusiwi kumiliki ardhi yetu.