Rasimu Ya Katiba 2013: Ardhi

Rasimu Ya Katiba 2013: Ardhi

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,890
Reaction score
2,795
Ndugu zangu, katika rasimu hii mpya ya katiba kuelekea katika mchakato wa kupata katiba suala la ardhi halijatolewa ufafanuzi wa kutosha. Nini maoni yenu wanajamii?
 
Ardhi sio jambo la muungano kila pande itaamuavyenyewe, ila kwa sisi znz ipo clear watanganyika hamruhusiwi kumiliki ardhi yetu.
 
Ardhi sio jambo la muungano kila pande itaamuavyenyewe, ila kwa sisi znz ipo clear watanganyika hamruhusiwi kumiliki ardhi yetu.
Tanganyika pia itakuwa kama hivyo. Itabidi muachie ardhi yetu bila masharti!
 
huyu mliberali anayejiita TUME YA KATIBA,nadhani hajui yeye ni jinsia gani,so sishangai sana na majibu yake,ili nilitegemea mtu mwenye akili timamu kujaribu kua analyse na kucome up with some reasobale output,GIGO
 
Ardhi sio jambo la muungano kila pande itaamuavyenyewe, ila kwa sisi znz ipo clear watanganyika hamruhusiwi kumiliki ardhi yetu.
hawaruhusiwi ni watanganyika tu, au watu wengine kutoka nchi za nje kama oman kenya uingereza muskat nk?
 
Itakuwa nzuri endapo ardhi itakuwa siyo suala la muungano..
Wa zanzibari wooote walioko bara waachie ardi haraka..
 
Suala la ardhi lina utata mkubwa sana nafikiri baada ya kuundwa kwa serikali za Tanganyika na Zanzibar kila upande utakuja na utaratibu wake. Kumbuka rasmu ya katiba imelenga kwenye mambo ambayo yanahusu Jamhuri ya muungano wa Tanzania tu. Lets wait and see
 
wanzazir hawana ardhi ila wana madini baharini, so itabidi kujadili ki undani kabla ya kuamua kama ardhi na madini ya baharini yawe kwenye muungano or not.
 
kuna vitu ambavyo vinatakiwa viangaliwe kwa makin katika swala la katiba si la kusema tu kwenye mitandao, ndyo ss twaweza toa maon mazur kwenye mitandao je, wananchi wasio na elimu haya mambo wanayapata? Au yanaishia kwenye mitandao tu humu? Swala la ardhi liangaliwe kwa makin sana lisje likafanya watanzania tukachukiana tukaanza kufanya mambo ya uzanzbara na uzanzbar.
MWENYE HEKIMA MMOJA ATAIPONYA MAELFU YA WAPUMBAVU. KULIKO MFALME MPUMBAVU
 
Sina hakika kama ulimaanisha maswala ya ardhi kimuungano. Maana naona maswala ya Bara-Visiwani yanateka mijadala yote ya katiba.

Kuna hili la ardhi kuwa mali ya umma chini ya Rais kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya mwaka 1999.

Au hilo lipo sawa kwenye rasimu?
 
Back
Top Bottom