-Wabunge wa kuteuliwa wawe walemavu tu
-Kila jimbo liwe na mbunge wa kike na wa kiume
0Kusiwe na uchaguzi mdogo, mbunge akifa chama kilichonsinda kipendekeze mbunge
-Spika na naibu wasiwe wabunge wala wanasiasa
-Bunge liwe huru
-Bunge lisiwe katika kazi za kitendaji
-Ukomo wa ubunge vipindi vitatu
-Wananchi waruhusiwe kumuondoa mbunge wakati wowote wakitaka
...............
-Tume ya uchaguzi iitwe tume huru ya uchaguzi
-Tume iunganishwe na msajili wa vyama
-Wajumbe wa tume wawe na sifa zilizoanishwa katika katiba
-Wajumbe waombe nafasi
-Tume ya kuchambua maombi - Jaji mkuu, majaji, maspika,
-Baada ya majina kuteuliwa, yapelekwe kwa raisi, naye aidhinishe mwenyekiti, katibu na wajumbe 6
-Majina yapelekwe na yaidhinishwe na bunge
-Viongozi wa kisiasa na wa asasi za kiserikali wasiwe wajumbe...
*Kuwe na mahakama ya juu (supreme court)
Muungano
Serikali tatu - serikali ya shirikisho, Tanzania bara, na Zanzibar...