RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

MUUNDO WA MUUNGANO
Tanzania sasa kuwa na muundo wa serikali tatu, yaani serikali ya shirikisho, serikali ya tanzania bara na serikali ya zanzibar
 
MUUNDO WA MUUNGANO

limechukua muda mrefu sana

sehemu kubwa ya uchambuzi ilikuwa ni muundo wa muungano sheria imeelekeza kuzingatia uwepo wa muungano wapo waliotoa maoni kuwa muungano uvunjwe wapo waliosema usivunjwe.

Tume haikupendekeza muungano uvunjwe, wapo waliotaka 1 govt hawakuwa wengi bt sababu nzito; wapo waliotaka serikali 4 ie bara, unguja,pemba na muungano hapakuwa na sababau za maana kulikuwa na wananchi waliotaka muungano wa mkataba esp zanzibar ( huwezi kuwa na muungano wa mkataba bila kuvunja muungano uliopo).waliopendekeza hili walisisitiza uwepo wa muungano.

wapo waliopendekeza serikali mbili na wengine serikali tatu. Wapo wamependekeza mfumo wa serikali mbili lakini kuwe na ukarabati mkubwa. Wa serikali tatu nao walikua wengi. Kila muundo utakua na changamoto.

*Tume imependekeza muundo wa serikali tatu; serikali ya shirikisho, serikali ya muungano na serikali ya znz
 
mambo 7 ya muungano
katiba
uraia
sarafu
mambo ya nje
usajili wa vyama vya siasa
ushuru na kodi
 
Mambo ya muungano
Katiba
Ulinzi na usalama
Uraia
Sarafu
mambo ya nje
Usajili wa vyama vya siasa
Ushuru wa bidhaa zinazotokana namambo ya muungano
 
Serikali iwe ndogo, mawaziri muungano wasizidi 15
 
Bunge la muungano liwe na watu 75
50 bara, 20 zanzibar, 5 ni walemavu
 
Haya kama nilivyowatabiria miezi kadhaa zilizopita serikali imefufuka.
 
Bunge la muungano - watu 75.
50 - bara (kutoka kwenye majimbo 25)
20 - Zanzibar
5 - wa kuteuliwa
 
Bunge la Muungano wawe 75..50Bara, 20Zanzibar, 5wakuteuliwa
 
Back
Top Bottom