RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa



Nakubaliana nawe Mkuu kuhusu tanganyika vs tanzania bara. Jina rasmi la huku bara ni Tanganyika na ndiyo lilikuwa jina rasmi. Hakuna kabisa nchi iliwahi itwa Tanzania Bara.

 
Well pronounced!...congrats to chadema, almost in everything, the framework replicates what makamanda struggle for, only majimbo "idea" goes contrary to the inspirations of the nation. However, CCM runs to conquer CDM for this fundamental "brekthrough". Anyway,am enthusiastically waiting to here from them(CDM) on the standing idea of the "rasmu" about "majimbo system..
 
Kwa sasa anaweza kugombea mwenyekiti wa bavicha make umri wake bado unatosha kule bavicha.
 

Mchango wako ungekuwa na maana sana kama ungeondoa hilo neno “ bwana mdogo” it is an insult to a person you are referring to. Unless you know the person, off course na umri wake pia unaweza tumia hilo neno.

Ingekuwa vema pia tukaangalia mfumo wetu wa elimu ya juu kama kweli unatoa wataalamu bora au bora wataalamu, maana kama ni suala la vyeti mbona watu wanavyo na wanavipata kirahisi tu!!

Nashauri iachwe kama ilivyo, Rais na bunge wanaweza kutumia busara zao kutupatia mawaziri wazuri na wachapakazi either kwa utaalamu, elimu au uzoefu wao. Nadhani makatibu wakuu wa wizara wanahusika zaidi hapa.
 
Heh! Mwanzo na mwisho wa Zito?
Kwa nini? Kwani Zito hatafika miaka 40? Unamaanisha nini?
He is too young and has a bright future ahead of him, ajue tu kuzichanga karata zake vizuri(aachane na mautoto utoto yake.)
Nadhani mpaka afike miaka 40 enzi yake itakuwa imepita na kutakuwa na wanasiasa wengine wapya.
 
Wazee wa kumwaga damu kona zote za dunia hawatakubali hii katiba kwa sababu haijaweka Mahakama ya Kadhi
 
Sasa hii ya kuwa na wabunge kwa sababu ya jinsia ni waste of money na ilitakiwa kila mbunge aingie based on merit

Imagine mama LWAKATARE anavyo tu cost sisi wananchi

huu ni wendawazimu na ujinga ambao ilitakiwa uondolewe.
 
Ni hulka ya binadamu kuiga mambo bila kupima kwa kina, nilipozaliwa niliwaza hivyo hivyo kama wengine humo JF, nikafundishwa na kukariri kuwa bila elimu ya kizungu mtu anakuwa ni mjinga, la hasha hata kidogo.

Naongelea usomi wa digrii versus wasio na digrii ambaa baadhi yao wamesoma diploma na wengine hawakusoma kabisa elimu ya mzungu. NI UBAGUZI KUSEMA WAZIRI ETI lazima awe na digrii, wakati wapo wasio nayo wanaoweza kufanya kazi hiyo, hata kama 1 kati ya kundi kubwa, ni haki yake. Kwanini tutengeneza sheria ambayo kwa uhakika itawakosesha watu wenye uwezo fursa? hata kama ni kundi dogo?

Kwa TZ kama sio mambo ya kusikia mtu aniambie wapi digrii imetusaidia hasa katika uongozi? kimsingi maprofesa na madaktari wameboa sana, bado tu tunakumbatia digrii ndo upate uwaziri, basi tujaribu uwaziri kwa wengine pia tuone harafu turudi kujadili. KARUME<SOKOINE< KAWAWA< MREMA je wangetoka wapi?
 
Mwali, nataka nikutag kama friend, ila sijui how, help.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana nawe Mkuu kuhusu tanganyika vs tanzania bara. Jina rasmi la huku bara ni Tanganyika na ndiyo lilikuwa jina rasmi. Hakuna kabisa nchi iliwahi itwa Tanzania Bara.

View attachment 96351

Tume ilione hili na kulifanyia marekebisho haraka, unless otherwise it is fatal and italeta movements nyingine za kutaka marekebisho mengine ya katiba which is very likely,
 
zitto alikuwa na matumaini makubwa sana ya kugombea urais matumaini yake yameyeyuka kwa sasa, hadi hapo baadae sana
 
nafasi ya urais si ya kukimbilia, ni nafasi inayohitaji uadilifu na umakini wa hali ya juu.
 
Lakini Nyerere na Karume sio mihimili ya taifa hili.

walikuwa ni personalities na washakufa na hatuwezi kuendelea kuongozwa na wafu

tuna katiba na mihimili ya taifa

na kama zanzibar wanataka kuondoka wapewe nafasi ya kufanya referendum waamue hatma yao

kuna ubaya gani hapo?
 
CAG poa, lakini PCCB nayo wangesema kitu ktk katiba, pia DDP, ofisi ya DPP haipo huru, tunahitaji kukuwekwa huru kikatiba
 
Rasimu ni copy and paste mambo yaliyopendekezwa na chadema na wananchi kwa ujumla sema tume kwa kiwango kikubwa imesikiliza maoni ya chadema na wananchi kwa ujumla kwa hiyo usipindishe ukweli,hakuna hata moja la uzandiki na kugawa nchi la CCM limechukuliwa acha tusonge mbele tupunguze mzigo wa serikali kupitia katiba
 
kwa hiyo hii ni katiba ya chadema???? acha uzuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…