The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 216
Its a wastage of resources kuwa na serikali tatu.
If we are seriously into our Union, tuwe na serikali moja.
I see this as a diversion into the facts that need be addressed.
Mambo yote ambayo ni controversial na tyalionekana na wazee wetu hapo mwanzo, (Karume na Nyerere) yamo humu ndani).
I see a clear and crystal intwntion to diversify us from facts such as poverty and natural resources.
Tutaachwa tukijadili haya mambo watu wakifanya yao.
I suggest katika rasimu mpya neno Tanzania Bara be removed and replaced by Tanganyika, Hakuna kitu kama TANZANIA BARA bali kunaTanganyika.
Nakubaliana nawe Mkuu kuhusu tanganyika vs tanzania bara. Jina rasmi la huku bara ni Tanganyika na ndiyo lilikuwa jina rasmi. Hakuna kabisa nchi iliwahi itwa Tanzania Bara.
