mimi naona hapo redi ujatenda haki. lazima mazingira yaliyosababisha kuathirika yaangaliwe.mfano kama alibakwa etc.mahusiano yanaweza kusitishwa endapo
- mmoja atagunduluka ni mwathirika
- mmoja atagundulika ana maslahi binafsi
- udanganyifu wa aina yeyote utakapogunduluka
mimi naona hapo redi ujatenda haki. lazima mazingira yaliyosababisha kuathirika yaangaliwe.mfano kama alibakwa etc.
Asa mbona unaondoka?? subiri basi nichangieSmile, imetulia hii. Ngoja tuwasikie na Wadau wengine.
Nimesha update.