Rasimu ya "katiba mpya ya mapenzi"

Rasimu ya "katiba mpya ya mapenzi"

mahusiano yanaweza kusitishwa endapo
  • mmoja atagunduluka ni mwathirika
  • mmoja atagundulika ana maslahi binafsi
  • udanganyifu wa aina yeyote utakapogunduluka


Asante sana Mkuu Mtende, Updates tayari.
 
[
Ibara ya Kumi Na Moja Kusitisha Mahusiano
Sehemu 1 mahusiano yanaweza kusitishwa endapo moja kati ya haya yametokea:1. . . . .Kutaka kufanya mapenzi kinyume na maumbile2. . . . .3. . . . .
Nimekusoma mkuu. Upadates tayari.
 
mahusiano yanaweza kusitishwa endapo
  • mmoja atagunduluka ni mwathirika
  • mmoja atagundulika ana maslahi binafsi
  • udanganyifu wa aina yeyote utakapogunduluka
mimi naona hapo redi ujatenda haki. lazima mazingira yaliyosababisha kuathirika yaangaliwe.mfano kama alibakwa etc.
 
Aisee nakupendekeza uingie kwenye timu ya Rais ya mabadiliko ya Katiba na hakikisha maoni ya wadau yanafikishwa na kuzingatiwa katika katiba mpya ya JMT
 
Back
Top Bottom