Rasimu ya Katiba na Sikukuu za Kitaifa

Rasimu ya Katiba na Sikukuu za Kitaifa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Rasimu ya Pili ya Katiba imetaja sikukuu za kitaifa

Mapinduzi ya Zanzibar

Uhuru wa Tanganyika

sikukuu nyingine zitakazoainishwa na sheria

hapa Rais hatakua na mamlaka ya kutangaza sikukuu za taifa bali sheria

naona imeparaganyika

sikukuu za kitaifa zitakua

1. Mapinduz ya Zanzibar (12 januari)
2. Uhuru wa Tanganyika (9 disemba)
3. na sikukuu nyingine zitakazoanishwa na sheria

Back
Top Bottom