B Bandio Senior Member Joined Feb 19, 2012 Posts 101 Reaction score 12 Jun 11, 2013 #1 Kama watanzania tutaikubali rasimu ya katiba kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muuungano ya mwaka 2013 na kwa kuwa inapendekeza mfumo wa serikali tatu, basi ni vizuri badala ya serikali ya bara kuitwa serikali ta Tanzania bara iitwe serikali ya Tanganyika.
Kama watanzania tutaikubali rasimu ya katiba kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muuungano ya mwaka 2013 na kwa kuwa inapendekeza mfumo wa serikali tatu, basi ni vizuri badala ya serikali ya bara kuitwa serikali ta Tanzania bara iitwe serikali ya Tanganyika.