O Odero Charles Oderos Member Joined Apr 25, 2016 Posts 19 Reaction score 23 Aug 6, 2026 #1 Wadau karibuni tutoe maoni kwenye rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): The National Dialogue, Truth, Reconciliation and Social Healing Bill, 2026. Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK). Attachments PROPOSED MODEL BILL.docx PROPOSED MODEL BILL.docx 52.6 KB · Views: 14
Wadau karibuni tutoe maoni kwenye rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): The National Dialogue, Truth, Reconciliation and Social Healing Bill, 2026. Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK).
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Aug 6, 2026 #2 Hizi kamati zenu za mchongo kila siku zinaanzisha michakato mipya lakini hakuna ripoti hata moja inayofanyiwa kazi, ni ujinga ujinga tu.
Hizi kamati zenu za mchongo kila siku zinaanzisha michakato mipya lakini hakuna ripoti hata moja inayofanyiwa kazi, ni ujinga ujinga tu.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Aug 6, 2026 #3 Hiyo rasimu ulikua wapi kuipigia chapuo kuanzia March 19 , 2021 hadi October 28 , 2025. Nyinyi sellouts endeleeni kutumika na CCM ila mfahamu watu wameshaamka hamtaweza kuwarubuni tena.
Hiyo rasimu ulikua wapi kuipigia chapuo kuanzia March 19 , 2021 hadi October 28 , 2025. Nyinyi sellouts endeleeni kutumika na CCM ila mfahamu watu wameshaamka hamtaweza kuwarubuni tena.
M Mtu wa Mara JF-Expert Member Joined Apr 10, 2026 Posts 599 Reaction score 1,233 Aug 6, 2026 #4 Njaa mbaya sana