Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitaleta TIJA yoyote ile kwa sababu umma haukushirikishwa vya kutosha kwenye suala hili. Public Participation ilihitajika sana kwenye mchakato wa kuanzisha suala hili kabla halijarasimishwa kama walivyofanya.wanabodi leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili
nini maoni yako?
kuna matangazo kama haya hapa hapaHaitaleta TIJA yoyote ile kwa sababu umma haukushirikishwa vya kutosha kwenye suala hili. Public Participation ilihitajika sana kwenye mchakato wa kuanzisha suala hili kabla halijarasimishwa kama walivyofanya.
Kabla suala hili halijatangazwa na kuwa rasmi, ilipaswa ufanyike utafiti wa kina (Feasibility Study) kwa kuwashirikisha Wataalamu mbalimbali pamoja na umma wote kwa ujumla.
Tukikaa kusubiri wajinga kama nyie hatutafika mbaliHaitaleta TIJA yoyote ile kwa sababu umma haukushirikishwa vya kutosha kwenye suala hili. Public Participation ilihitajika sana kwenye mchakato wa kuanzisha suala hili kabla halijarasimishwa kama walivyofanya.
Kabla suala hili halijatangazwa na kuwa rasmi, ilipaswa ufanyike utafiti wa kina (Feasibility Study) kwa kuwashirikisha Wataalamu mbalimbali pamoja na umma wote kwa ujumla.
Yaani Sera yenyewe tayari imeshapitishwa halafu sasa ndio wanataka kukusanya maoni ya watu???Au?kuna matangazo kama haya hapa hapa
Yaani Sera yenyewe tayari imeshapitishwa halafu sasa ndio wanataka kukusanya maoni ya watu???Au?