waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 387
- 349
- Thread starter
-
- #21
Sawa wanaenda kukutana na bora zaidi yao hlo lazma utambueLolote linawezekana
team yangu ya Barcelona ni mbovu
imebaki jina tu ndo mana hawajachukua kombe hata 1 msimu huu
lyon kwa sasa wako ktk ubora kuliko barca
kuwatoa Juventus na Manchester city inathibitisha ubora wao kwa sasa
Sawa wanaenda kukutana na bora zaidi yao hlo lazma utambue
Ni sawa mkuu Ila ngoja tuone maana mpira una maajabu yakeila ubora wa Bayern usipimwe kwa kuifunga barca.. maana barca msimu huu ni mbovu
Fainali ni Bayern na Lyon...
Lazma tukubali Lyon yuko na kiwango bora msimu huuTatizo bayani jinsi utavyocheza na yeye ndivyo anacheza. Mechi mi naona kabisa bayani anapiga mtu sema si nyingi tokana na mfumo anaocheza Lyon wa kuzuia na kushambulia
Tatizo la Jana la city nikujifanya wabaabe wakumiliki mpira haliyakuwa hawana mabeki wenye speed kushinda forward za lyon. City ilibidi wapaki Basi wajifanye wadogo waachie madogo wamiliki mpira afu ye acheze kimbinu. Magoli mawili yote ni counterattack
Ni ukwel usio pingika tulitamani kuona nusu final ya Bayern na man city but imegomaLyon anaenda na maji japo wapenda burudani wengi tulipenda nusu fainali iwe city vs bayern..
wanakutana nusu fainaliFainali ni Bayern na Lyon...
Umevuta ya wapi mkuuAlafu PSG anabeba kombe
[emoji38][emoji38][emoji38] viroba havijawahi kua mbadala wa CHAIFainali ni Bayern na Lyon...
Kwahyo Mwamba kuna vtu anavyo kichwan so bure[emoji38][emoji38][emoji38] viroba havijawahi kua mbadala wa CHAI
Itakua ya Tarime hyoUmevuta ya wapi mkuu
Hivi hii michuano haitumii VAR? Yale magoli 2 ya mwisho ya Lyon ni kama offside yoteTatizo bayani jinsi utavyocheza na yeye ndivyo anacheza. Mechi mi naona kabisa bayani anapiga mtu sema si nyingi tokana na mfumo anaocheza Lyon wa kuzuia na kushambulia.
Tatizo la Jana la city nikujifanya wabaabe wakumiliki mpira haliyakuwa hawana mabeki wenye speed kushinda forward za lyon. City ilibidi wapaki Basi wajifanye wadogo waachie madogo wamiliki mpira afu ye acheze kimbinu. Magoli mawili yote ni counterattack
Hata goli la Bayern alilofunga continho alikua offside.nahc VAR wapo likizo kidogoHivi hii michuano haitumii VAR? Yale magoli 2 ya mwisho ya Lyon ni kama offside yote
Kiwango bora lakini si wapishane na wajumbe (Bavarian). Hao jamaa kila idara wapo vyema mchakamchaka wa dakika zote 90 wanaweza, pasi mpenyezo ndiyo kabisa., Uchap wa ku recovery tena rahisi Sana kwao kusahihisha makosa yao papo kwa papo. Speed zikienda pamoja na mbinu ndy usiseme.Lazma tukubali Lyon yuko na kiwango bora msimu huu
Naunga mkono huu utabili.Natabili fainali itakua Bayern Vs PSG
Ndio umenikumbusha, hata hilo lilikuwa offside kweliHata goli la Bayern alilofunga continho alikua offside.nahc VAR wapo likizo kidogo
Kweli ukiangalia kwa haraka haraka unaweza sema ni offside lakini sivyo.Hivi hii michuano haitumii VAR? Yale magoli 2 ya mwisho ya Lyon ni kama offside yote