RASMI: Baada ya Lyon kuiondoa Manchester City. Nusu fainali ya Bayern Vs Lyon

RASMI: Baada ya Lyon kuiondoa Manchester City. Nusu fainali ya Bayern Vs Lyon

Barcelona hawatafutwa machozi mwaka huu maana hawo Bayern ni wabaya sana Naona wakichukua UEFA msimu huu.
Bayern hawanaga bahati hao jamaa...hakuna shaka kuhusu ubora wao miaka nenda rudi...ila huwa wanakosa sana bahati hawa watu.
 
Back
Top Bottom