waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 387
- 349
- Thread starter
-
- #41
Wanacho kufanya Bayern ni kutwaa umiliki wa Mpira muda wote,farsafa ya ushindi katika football lazma uhakikishe unamiliki mpira muda mwingi hii itawaathiri wapinzani wako na kuwafunga kirahisi ndicho wanachofanya BayernKiwango bora lakini si wapishane na wajumbe (Bavarian). Hao jamaa kila idara wapo vyema mchakamchaka wa dakika zote 90 wanaweza, pasi mpenyezo ndiyo kabisa., Uchap wa ku recovery tena rahisi Sana kwao kusahihisha makosa yao papo kwa papo. Speed zikienda pamoja na mbinu ndy usiseme...
Labda wameamua kutoa zawadiNdio umenikumbusha, hata hilo lilikuwa offside kweli
Kweli mwenye nilitamani Sana kwa mpira ule man city angechezea magoli mengiLyon anaenda na maji japo wapenda burudani wengi tulipenda nusu fainali iwe city vs bayern..
HaswaWanacho kufanya Bayern ni kutwaa umiliki wa Mpira muda wote,farsafa ya ushindi katika football lazma uhakikishe unamiliki mpira muda mwingi hii itawaathiri wapinzani wako na kuwafunga kirahisi ndicho wanachofanya Bayern
Kumiliki mpira 75%
Speed75%
Attack 80%
Defence 75%
Remark 90%
Sawa hapo haupati pa kupenya labda uroge[emoji23][emoji23]
Me nawapa kombe hawa jamaaHaswaaaa
Itakua we ni barcaKweli mwenye nilitamani Sana kwa mpira ule man city angechezea magoli mengi
Ilo halina ubishi sema timu ambayo naiona inaweza leta upinzani kwa bayan ni redbull kwanini wanaampira flani wa haraka na pasi za uhakika sema kwenye kumalizia ndiyo wazembe kwa mpira wanaocheza ilibidi wawe wanafunga magoli mwngi sema utulivu tu unakosekana. PSG kazi anayo.Me nawapa kombe hawa jamaa
Amna mi livaItakua we ni barca
Hizi nusu fainali ni za machozi jasho na damu.unaweza stuka ukawakuta Lyon na redbull wako fainaliIlo halina ubishi sema timu ambayo naiona inaweza leta upinzani kwa bayan ni redbull kwanini wanaampira flani wa haraka na pasi za uhakika sema kwenye kumalizia ndiyo wazembe kwa mpira wanaocheza ilibidi wawe wanafunga magoli mwngi sema utulivu tu unakosekana. PSG kazi anayo.
Mpira huu lolote laweza tokeaHizi nusu fainali ni za machozi jasho na damu.unaweza stuka ukawakuta Lyon na redbull wako fainali
Hakika halipingikiBundasliga vs League 1
Naziona timu za ujerumani zikicheza fainali ya UCL
Mpira dakika 90 mkuu hakuna alie amin kama barca atapgwa kpgo kileHao wanaokutana na Bayern msimu huu hawana Bahati na hata huyo Lyon hawez toka kabisa
Akimpiga Bayern hakutakuwa na cha kumzuia....Lyon anachukua kombe la UEFA.
Ukipigwa game moja tu njee yaan kama world cupHivi haya mashindano ya msimu huu hayana mechi za home and away?
Lakini haikuwaga hivyo, sio? misimu iliyopitaUkipigwa game moja tu njee yaan kama world cup
Misimu mengine ilikua home and away mzee.wamefanya hvyo ili mashundano yawahi kuisha maana yalisimama sababu ya corona,yalitakiwa yawe yameisha mwezi wa tano but corona iliharibu,na wanachezea viwanja vya nchi moja tu Portugal(ureno)Lakini haikuwaga hivyo, sio? misimu iliyopita