Samwel Jr JF-Expert Member Joined May 9, 2020 Posts 1,311 Reaction score 935 Aug 16, 2020 #61 waterproof said: Kwahiyo alistahili? Click to expand... Sana kwa Mana Gardiola najua ukishamfunga goli moja afu Bado unamshambulia Tena bc anakosaga mbinu ndicho kilichomtokea Jana
waterproof said: Kwahiyo alistahili? Click to expand... Sana kwa Mana Gardiola najua ukishamfunga goli moja afu Bado unamshambulia Tena bc anakosaga mbinu ndicho kilichomtokea Jana
Kelevra JF-Expert Member Joined Nov 23, 2018 Posts 1,053 Reaction score 2,010 Aug 17, 2020 #62 ndiga said: Barcelona hawatafutwa machozi mwaka huu maana hawo Bayern ni wabaya sana Naona wakichukua UEFA msimu huu. Click to expand... Bayern hawanaga bahati hao jamaa...hakuna shaka kuhusu ubora wao miaka nenda rudi...ila huwa wanakosa sana bahati hawa watu.
ndiga said: Barcelona hawatafutwa machozi mwaka huu maana hawo Bayern ni wabaya sana Naona wakichukua UEFA msimu huu. Click to expand... Bayern hawanaga bahati hao jamaa...hakuna shaka kuhusu ubora wao miaka nenda rudi...ila huwa wanakosa sana bahati hawa watu.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Aug 19, 2020 #63 koncho77 said: Bavarians sio Citizen Click to expand... Bavaria vs Citoyen,,,,,itakuwaje?
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,789 Reaction score 10,388 Aug 19, 2020 #64 Kelevra said: Bayern hawanaga bahati hao jamaa...hakuna shaka kuhusu ubora wao miaka nenda rudi...ila huwa wanakosa sana bahati hawa watu. Click to expand... Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini bahati katika mpira
Kelevra said: Bayern hawanaga bahati hao jamaa...hakuna shaka kuhusu ubora wao miaka nenda rudi...ila huwa wanakosa sana bahati hawa watu. Click to expand... Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini bahati katika mpira
Kelevra JF-Expert Member Joined Nov 23, 2018 Posts 1,053 Reaction score 2,010 Aug 19, 2020 #65 koncho77 said: Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini bahati katika mpira Click to expand... Sawa
waterproof JF-Expert Member Joined Aug 14, 2020 Posts 387 Reaction score 349 Aug 19, 2020 Thread starter #66 balibabambonahi said: Bavaria vs Citoyen,,,,,itakuwaje? Click to expand... Mtoto hatumwi dukan