Rasmi Barakoa

Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.

Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu mwenyewe. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja-mikono na wapinzani wa ndani kwa ndani.
 
Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.

Unataka denda nenda
 
Safi sana Mama! legacy wakati wengine walibaguliwa sana nchi hii walionekana kana kwamba siyo Watanzania, ukanda,ukabila na undugu ndiyo ulishamili nchii. Wengine tulikuwa kama siyo watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…