Rasmi Barakoa

Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.
Comrade hutaki watu wajikinge na maambukizi ya korona wapotee kama yule mzee?
 
Kwahiyo waliagana wafe kwa mkupuo yeye na kina Kijazi au kuna Mbu wa Malaria aliwang'ata wote
Wewe si ndiye ulikurupuka na taarifa za kifo cha mlinzi wa Magufuli kufa na corona au leo unajitoa ufahamu?.
 
Mama Samia ndio kinara wa kufuta legacy ya Magufuli, tena kimakusudi.
Magufuli alipinga sana uvaaji wa barakoa kwa viongozi wa serikali.
Nani kakwambia anafuta? Acheni chuki. Hivi leo mkifuatiliwa na kuulizwa na vyombo vya usalama mtapiga kelele. Kila rais ana mtazamo wake wa kutekeleza ajenda za taifa lake. Samia hawezi kuvaa viatu vya Josef. Haitatokea. Kwa kawaida Rais akiapishwa huo anachagua mwanasheria, IGP, CDF na Director wa TISS. Mbona mama amewaacha? Mawaziri nani kaondolewa
 
..hivi Magu aliwahi kuvaa barakoa hata mara moja ktk kipindi chote cha mlilpuko wa corona?
 
Wanajisahaulisha na wala usijishughulishe nao Huna haja ya kuwajibu. . Usisahau watu wanaoongea humu ndani kumponda Magufuli ni either walikuwa vyeti feki,
waliogushi, wezi, mafisadi , wala rushwa, wnaotumiwa na mabeberu au ni waliotumbuliwa. Majority ya waliotoka kumzika ndiyo wanamwelewa alichokuwa anatuambia hayati.
 
Kwa hyo AKILI zako zitakuokoa na Corona?
Wanaoumwa Corona na kufa hawatumii AKILI?.
Acha kujidanganya.
Hicho NI kitambaa Tu hakina msaada wowote
Corona ipo hakuna sababu kuishi kwa kujidanganya tena, sasa ni kutumia akili tu.
 
Utafit ambayo umefanywa na waingeleza mpaka sasa unaonesha corona haizuiwi kwa barakoa

Kwa maana nyingine barakoa sio kinga ya corona


Utafiti sio mimi
 
Mama ni msomi na anatambua umuhimu wa kujikinga ,usisahau kuwa mama ana miaka 61 ,yuko kwenye kundi hatarishi ,Kimsingi mama alichelewa sana kuvaa barakoa.Hata hivyo ,tunampongeza kwa hatau hii.
Msomi?
India wasingekufa kama barakoa dawa au kinga

Wao mpaka chanjo tayar Leo kuna nyymbu watasema chanjo dawa hawajiuliz why India inakufa
 
Magufuli=Sankara! Mengine ni maoni tu; alifundisha kuwa watanzania "tunaweza wenyewe tukiamua" Enzi za kuamuliwa ni kitu alichopiga vita sana. Juzi mama akiwa Kenya nilimsikia kama anazungumza kwa sauti ya Membe, siyo kwa sauti kama ya Sankara!
 
Comrade hutaki watu wajikinge na maambukizi ya korona wapotee kama yule mzee?


Wewe unaona barakoa tuuu, siyo!??? Kweli upofu ni gharama sana. Bi Mkubwa anachefuliwa sana na maendeleo aliyofanya JPM. Kila aamkapo asubuhi anatafuta mbinu na kiki za kuyafutilia mbali. Ndiyo sababu ya mahangaiko na kujikosha na kujichosha kooote huko. Najiuliza tu, hivi utamfutaje mtu na legacy yake Tanzania tu wakati amejaa Afrika na duniani kote!???
 
Msomi?
India wasingekufa kama barakoa dawa au kinga

Wao mpaka chanjo tayar Leo kuna nyymbu watasema chanjo dawa hawajiuliz why India inakufa

Hawezi kukuelewa huyo. Wamekariri tuuu ^Mama^ ^Mama^ ^Mama^ mpaka wamepofuka akili kumkichwa.
 
Msomi?
India wasingekufa kama barakoa dawa au kinga

Wao mpaka chanjo tayar Leo kuna nyymbu watasema chanjo dawa hawajiuliz why India inakufa
Ila wewe jamaa BWEGE sana.

Hivyo kwakuwa watu wanaugua malaria pamoja na kutumia vyandarua kwa akili yako utasema VYANDARUA HAVIZUII MTU KUPATA MALARIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…