Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Comrade hutaki watu wajikinge na maambukizi ya korona wapotee kama yule mzee?Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.