Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti
Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe
Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka mitano likiongozwa na Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Ilala Nice Gisunte, leo Disemba 22, 2024 wamelipia fomu kiasi cha Milioni Moja na Laki Tano.
Baadae leo watamkabidhi risiti hiyo na kumsindikiza kurejesha fomu Makao Makuu, Mikocheni Dar es salaam.