Rasmi: Bei za chapati, maandazi zapanda

Tutakaza tu ule ugari kwa mlenda, havitumii mafuta
 
mkuu labda kwenu
Lazima ujiongeze kama mtu alinunua mafuta kabla bei haijapanda utainjoy izi siku chache badae ndo moto utausoma aya mabadiliko si ya mda mrefu ndo mana bado wengine janga alijawakuta
 
Ni kiasi cha kuwa flexible tu,
kuna mdau katoa ushauri wa ugali na mrenda,
wazo zuri sana,hakikisha unakula asubuhi na mapema intake ya kutosha mpaka jioni,
ulaji wa mrenda unaongeza umri wa kuishi duniani na unaweza kuishi hadi miaka 120 kama akina Metusela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…