Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimejitolea kumnunulia unga na mafuta ya kutumia mwaka mzimakwenye picha ni wewe?
nitakulipia bili ya chapati miezi mitatu
Lazima ujiongeze kama mtu alinunua mafuta kabla bei haijapanda utainjoy izi siku chache badae ndo moto utausoma aya mabadiliko si ya mda mrefu ndo mana bado wengine janga alijawakutamkuu labda kwenu
Hahahaa Dp yake si mchezo.. ipo fayaa [emoji91]kwenye picha ni wewe?
nitakulipia bili ya chapati miezi mitatu
Pika mwenyewe nyumban na nyingine unabeba unaenda kula ofisin,,maisha ya sasa hivi ni balaa tupu
kama kkoo siku hizi tunashinda njaa madukan....Napika nabeba lakini bado maisha yamekaza aisee
Kama mimi hapa nilibeba hotpot la wali uliobaki jana na chupa ya chai,nimekunywa asubuhi na mchana ntakula huo huoPika mwenyewe nyumban na nyingine unabeba unaenda kula ofisin,,maisha ya sasa hivi ni balaa tupu
hawa watu wa darisalama wanadhani yanayotokea huko kwao ni nchi nzima.lakini si mkuu juzi juzi kazindua kiwanda kikubwa cha mafuta ya alizeti!?mkuu labda kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaaKama mimi hapa nilibeba hotpot la wali uliobaki jana na chupa ya chai,nimekunywa asubuhi na mchana ntakula huo huo
We ulitaka zipande kote kama kurudi kwa Umeme mara baada ya kukatika?mkuu labda kwenu